Felixtz
Member
- Oct 19, 2015
- 66
- 36
Habari zenu wakuu, nina blog ambayo ina subdomain ya blogspot, ningependa kuweka top domain ili niweze kuweka adsense. Tatizo sijui chochote kuhusu mambo yafwatayo na ningependa kujulishwa:
1.web hosting
2.Bandwidth
3.vitu vya kuzingatia ili kuweka top domain kwenye blogger
4.Nikishanunua domain, nitaweza kutumia dashboard ya blogger kupost na kufanya settings kama kawaida?
5. (Maelezo mengine kama yapo)
Shukrani wakuu