MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 31,760
- 48,410
Hahaha, kwa debt to GDP ratio ya 100% maana yake uchumi wenu ni wa kwenye makaratasi. Maana yake hakuna uchumi hapo.
Sisi uchumi wetu ni halisia, tumekuwa tukikuambia sana tu hapa jamvini...
Uchumi upi halisia, vigezo vya kupima uchumi hutumika kitaalam sio hayo mambo yenu ya kinjeketile, tumewazidi kiuchumi mara mbili halafu mnaendelea kujilimbikiza madeni na umaskini wote huo mtabaki mifupa, ukizingatia mlianzisha miradi mikubwa bila kutumia akili ya kudadavua vipau mbele, vyuma vikakaza na miradi yenyewe bado mbali, itawalazimu kuendelea kukopa.
Mkajitutumua kununua mindege ilmradi muonekane mnashindana dhidi ya Kenya, leo hii mnahesabu hasara hizo ndege zinapiga ruti za daladala ndani kwa ndani na kuingiza hasara.
CAG amevumbua wizi ambao haujawahi kutokea, yaani kwa umaskini wote huo mnaiba, mtaua watu sana nyie...
Itabidi mama abuni jopo kazi la wataalam wa kumshauri namna ya kutoka kwenye huo ujuha, huyo mama namtakia kila la kheri yaani siombi akwame maana hana kiburi na haonyeshi chuki chuki za kijinga.