Top African Nations with the most Chinese debts.

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
22,201
2,000
Hivi Tanzania deni lenu huwa mnakopa wapi, maana kuna taarifa za denu lenu kuongezeka kimya kimya lakini haieleweki mnakopa kutoka kwa nani...

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
22,201
2,000
Huko huko mnakokopa nyie lakini tunakopa kwa akili, sio kukopa mpaka mnafikia 100% ya GDP.

Poleni sana wa Kenya.

Kwa nchi yenu ilivyo maskini mpaka tumeizidi kiuchumi mara mbili, mikopo yote hiyo mnakopa ya nini.
 
joseph1989

JF-Expert Member
May 4, 2014
8,461
2,000
Kwa nchi yenu ilivyo maskini mpaka tumeizidi kiuchumi mara mbili, mikopo yote hiyo mnakopa ya nini.
Mngekuwa matajiri msinge lalamika nchi yenu ina mizigo ya madeni,yaani mnakopa hamlipi mpaka wananchi wana lalamika msikope tena,kwani wana hali mbaya na mikopo itazidi kuwa kamua.

Nchi yenu imekuwa kama muembe wa uwani,kila kiongozi akisikia njaa anachuma.
 
Don YF

JF-Expert Member
May 24, 2014
6,148
2,000
Hivi Tanzania deni lenu huwa mnakopa wapi, maana kuna taarifa za denu lenu kuongezeka kimya kimya lakini haieleweki mnakopa kutoka kwa nani...

Sasa hivi mama anawaumbua, tulia everything is coming to the surface. Hataki propaganda na porojo, I guess ni uislamu wake(my opinion tu), mara mingi mafisadi hapa East Africa wanajiita wakristo, not meaning to attack any religion here., and I don't mean to say wakristo ama waislamu ni wabaya ama wazuri., ni individual conviction tu.
 
Don YF

JF-Expert Member
May 24, 2014
6,148
2,000
Mngekuwa matajiri msinge lalamika nchi yenu ina mizigo ya madeni,yaani mnakopa hamlipi mpaka wananchi wana lalamika msikope tena,kwani wana hali mbaya na mikopo itazidi kuwa kamua.

Nchi yenu imekuwa kama muembe wa uwani,kila kiongozi akisikia njaa anachuma.
Kenya haijashindwa kulipa madeni kama nyie, ni vile ulipaji wa madeni inakula hela ndefu kutoka kwa revenue na inatumia asili Mia kubwa ya budget, na nyinyi juzi kwa hizi report zenyu za kuonyesha mlivyo chemsha walisema pia ndege za air Tanzania haziwezi kuruka nje kwa vile zinaeza kamatwa, lipeni madeni wacha kutuletea aibu EAC!
 
joseph1989

JF-Expert Member
May 4, 2014
8,461
2,000
Kenya haijashindwa kulipa madeni kama nyie, ni vile ulipaji wa madeni inakula hela ndefu kutoka kwa revenue na inatumia asili Mia kubwa ya budget, na nyinyi juzi kwa hizi report zenyu za kuonyesha mlivyo chemsha walisema pia ndege za air Tanzania haziwezi kuruka nje kwa vile zinaeza kamatwa, lipeni madeni wacha kutuletea aibu EAC!
Nyie shirika lenu la ndege hasara 1.8B USD ,mimi Tz USD 60m,sasa sijui lipi ni kubwa.

Mpaka mnalalamika manake mnaelekea kushindwa na hii Corona mnakopa,alafu kinachofanyika hamkioni.

MNAJIFANYA MNA NGOZI YA CHUMA ILA IKIGUSWA INA BONYEA.

#UnlockOurCountry

Endeleeni kujifungia.
 
EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
15,108
2,000
res.jpg

url.jpg

ires.jpg

ZAMBIA NCHI ISHAUZWA
 
BonT

JF-Expert Member
Oct 14, 2020
984
1,000
Soon hata Tanzania tunaweza ingia kwenye hiyo kumi bora...Mana mradi wa Bagamoyo ni karibu mara mbili ya deni la Angola.
Mradi wa Bandari ya Bagamoyo ni $10 Billion, kwahiyo sio kweli kwamba ni mara 2 ya Ethiopia! Thamani ingefanana naEthiopia ukichanganya na SGR kwa sababu miradi yote ilikuwa ijengwe na pesa za Wachina
 
Bantugbro

JF-Expert Member
Feb 22, 2009
4,460
2,000
Kwa nchi yenu ilivyo maskini mpaka tumeizidi kiuchumi mara mbili, mikopo yote hiyo mnakopa ya nini.
Hahaha, kwa debt to GDP ratio ya 100% maana yake uchumi wenu ni wa kwenye makaratasi. Maana yake hakuna uchumi hapo.

Sisi uchumi wetu ni halisia, tumekuwa tukikuambia sana tu hapa jamvini...
 
Don YF

JF-Expert Member
May 24, 2014
6,148
2,000
Hahaha, kwa debt to GDP ratio ya 100% maana yake uchumi wenu ni wa kwenye makaratasi. Maana yake hakuna uchumi hapo.

Sisi uchumi wetu ni halisia, tumekuwa tukikuambia sana tu hapa jamvini...
Kwa hii akili yako finyu, sasa marekani, ama Japan na kadhalika hawana uchumi kamwe, kwa sababu Debt to GDP ratio ya Japan ni 200%., ya USA ni zaidi ya 100%., elewa economics, sio kuropokwa.,
 
Don YF

JF-Expert Member
May 24, 2014
6,148
2,000
Nyie shirika lenu la ndege hasara 1.8B USD ,mimi Tz USD 60m,sasa sijui lipi ni kubwa.

Mpaka mnalalamika manake mnaelekea kushindwa na hii Corona mnakopa,alafu kinachofanyika hamkioni.

MNAJIFANYA MNA NGOZI YA CHUMA ILA IKIGUSWA INA BONYEA.

#UnlockOurCountry

Endeleeni kujifungia.
Pambana na hali yenyu, mama amewaumbua vibaya sana., Yani mko ovyo kila sector, na ka uchumi kadogo, watu wengi, results ni umasikini wa kutupwa kote kote. Yani baba ako na mshahara kidogo na watoto wengi na majukumu kibao.,
dead state.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom