Top 6 Most Romantic Men in Africa

Kuna thread moja ililetwa humu kuhusu maraisi wa africa mashariki na kati wenye sura mbaya. Kenya iliongoza maana raisi wao alikuwa Mwai Kibaki na aliemtangulia alikuwa MOI.. daah! Nilicheka sana maana jamaa waliwaponda wakenya vibaya sana...
 
Wanaume wengi wa Kenya kwenye Mapenzi ni 0,ila kwenye kusaka chapaa wako poa.
 

Si mnachunwa tuu halafu mapenzi wanawaachia wabongo kama kawa kama dawa...
 
Kuna thread moja ililetwa humu kuhusu maraisi wa africa mashariki na kati wenye sura mbaya. Kenya iliongoza maana raisi wao alikuwa Mwai Kibaki na aliemtangulia alikuwa MOI.. daah! Nilicheka sana maana jamaa waliwaponda wakenya vibaya sana...

Hahaha mke wa Kibaki huwa nashindwa kumtofautisha sura yake na waziri wetu mmoja mbabe kama Tyson.... Anaitwa nani? nshamsahau ila atakuwa katokea jirani na kenya huko Mara.
 
Hahahahaha....wakenya wengi wao bado ni "wazima" mkuu.

Wanawaonea wanaume wa Kenya, hata dada zao hawajambo pia.

Kuna yule mama profesa wa mambo ya mazingira.... huyu tumpe PM wetu washindanishwe. Na kuna first lady wa rais wa tatu huyu tumpambanishe na waziri wetu a.k.a Tyson. Mawaziri wetu wataonekana warembo walah.

Kenya naona huwa wanazaliana usiku wakati Mungu kapumzika.
 

Duh,aiceeee...
 
Ukweli ni kwamba February mwaka huu siku ya wapendanao (valentine day) vyombo vya habari vya kenya vilisema utafiti umefanyika E.Africa kuhusu Romantic relationship,caring etc.Watz wakaongoza,then Uganda n lastly Rwanda.then kenya na burundi hakuna kitu...reference:radio maisha kenya,ntv etc
 

Kenya muda wote ni kunyooshwa na Alshaabab, watapata wapi muda wa malovee?
 
Kusema ukweli the few Kenyan men that approached me seem to be more romantic
but romantisim yao yenyewe imekaa ya kidhungu kidhungu, na mimi sijazowea so...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…