Top 5 yako ya Romantic Movies

La la Land ni nzuri na haichoshi
 
Baada ya kuiona notebook kwenye list yako ninahisi wewe ndio utakuwa unajua romantic movies za ukweli. Ninashawishika kuichukua list yako, wengine huwa wanataja tu movies za kiluga luga.
 
Baada ya kuiona notebook kwenye list yako ninahisi wewe ndio utakuwa unajua romantic movies za ukweli. Ninashawishika kuichukua list yako, wengine huwa wanataja tu movies za kiluga luga.
Anza na love Rosie hii movie ina kitu cha mhimu sana ambacho watu wengi wanakipitia lakin wana ignore ukweli na kuishia kuumia
 
Ongezea Dear John
 
~ Notting Hill hii inanikumbusha situation flani nilipitia na nilipokuja kuiona hii movie hakika nilishangaa. Everything was similar
~ Note Book si yakuikosa na
~ Lights between oceans
 
khabil
crue romance
99 song
what if i love you
krish 3 ( na song lake de tu bataa)

kiss and kill only 18+ (km demu huna usiangalie)
 
Daahh!acha kabisa umenikoshaa japo ae dil hai mushkil tuuuu!!!
 
Kabhi Alvida Naah kehna

Ae dil hai mushkil

Hamari adhuri kahaan

OK Jaanu

Love aaj Kal
 
Veer zara..
Dada mmoja wa kipakistani akiwa njiani kw bus kuelekea india bus lilipata ajali.

Yule jamaa aliemuokoa yule dada kwenye ajali akajikuta amempenda yule dada.sababu yule dada ni mgeni pale india ikabidi jamaa ndio awe mwenyeji wake.

Kilichompeleka yule dda india ni ahadi aliyompa bibi ambae alimlea.kwamba atapokufa bsi yeye atasafirisha majivu yake hadi india akayatawanye huko(kimila za wahindi).

Ikatokea yule jamaa na binti kupendana na binti kusahau kwamba kule pakistani ana mchumba.mchumba ambae baba yake ni mtu mkubwa serikalini na aliahidi kwamba siku mtoto wake akimuoa huyo binti basi baba wa binti atapewa madaraka(gavana)..

Jamaa kutokana na mapenz kw yule binti akawa haelewi pamoja na kupewa onyo aondoke..mwisho wa siku akaamua kuondoka lakini njiani akakamatwa na askari na kupewa option kwamba asaini nyaraka na asiposaini yule binti anaempenda atapewa mateso..akasaini kwamba yeye ni shushushu wa india alikuja kupeleleza pakistan.

Akapigwa selo miaka karibu 20 binti akijua jamaa alikufa na jamaa akiwa haelewi kitu.

Muvi tamm sana hii unaweza kujikuta unalia
 
Mkuu nimejaribu kudownload movie ya queen and slim, na imeonyesha imedownload, imecheza dk 2 tu za mwanzo halaf haiendelei. Nimefeli wapi. Na kama nataka iendelee kucheza full movie nifanye nini?
 
Kabhi Alvida Naah kehna

Ae dil hai mushkil

Hamari adhuri kahaan

OK Jaanu

Love aaj Kal

Hii list ngoja niingie YouTube trailers naweza pata mbili tatu za weekend maana ikija kwenye Movies mm niko Versatile naenda genres kibao
 
Mkuu nimejaribu kudownload movie ya queen and slim, na imeonyesha imedownload, imecheza dk 2 tu za mwanzo halaf haiendelei. Nimefeli wapi. Na kama nataka iendelee kucheza full movie nifanye nini?

Una play kwenye kifaa gani na unatumia App/software gani mkuu
 
Hii list ngoja niingie YouTube trailers naweza pata mbili tatu za weekend maana ikija kwenye Movies mm niko Versatile naenda genres kibao
Ingia kaka!utapenda yaani Mimi love story za wahindi nazielewa sana
Zipo nyingi sana sema ndo hivyo naona uvivu kuziweka
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…