Socratesson
Senior Member
- Oct 5, 2012
- 119
- 23
Kwa jinsi nyufa zinavyozidi kuongezeka katika kajumba haka kanakoitwa Tanzania, ni ngumu sana mchagga, Mhaya na Mnyakyusa kushinda kinyang'anyiro cha urais nchi hii. Kuna chuki imejengeka kwa makabila haya matatu lakini hasa kwa wachagga ndio usiseme sijui chuki hii imetoka wapi ilhali Mwalimu Nyerere alijaribu sana kuhangaika na kimkakati na ubaguzi huu. Kwa hiyo kwenye hiyo list ondoa Freeman Mbowe!!
zzk bado sana, na inavyoonyesha hata akifikia 70 hakui!!
tundu lisu na mbowe hawana uwezo wa kuongoza nchi kama hii
nchi kama hii inahitaji watu kama
1.DR.MAGUFULI
2.DR.MWAKYEMBE
3.COMRADE EDWARD LOWASSA
4.ZITTO KABWE
5.JANUARY MAKAMBA
6.SAMUEL SITA
Mimi nadhani ni muhimu kwanza tuweke vipaumbele vikuu vitano halafu ndio tupime viongozi kutokana na misimamo yao juu ya vipaumbele vyetu kama wananchi;
1. Maadili ya uongozi, hasa ufisadi - jinsi gani atatatua tatizo lililopo sasa;
2. Muungano (mfumo unaotufaa...)
3. Katiba (msimamo juu ya nini kiwemo na nini kisiwemo, na kwanini...)
4. Itikadi Na Dira ya Nchi (Ubepari? Ujamaa? Mwananchi wa kawaida, hasa vijijini maisha yake yataboreshwa vipi...)
5. Sera ya mambo ya nje - Je, sera yetu ni ipi? Baada ya mwalimu kuondoka, hatuna sera zaidi ya kusafiri safiri na kwenda kutengeneza marafiki; Ni muhimu tukatazama (Mahusiano na WTO, WorldBank na IMF na jinsi gani atapigania tufaidike zaidi na bila upendeleo kwenye biashara ya kimataifa - (hivi sasa viongozi wetu wakisafiri nje hawaendi kupigania maslahi ya wakulima na kutafuta bei nzuri bali kwenda kula tu posho za vikao, shopping...),jinsi gani atatatua tatizo la madeni, jinsi gani ataimarisha economic diplomacy - na nchi gani na kwanini? Role of China, USA, Iran, Brazil, tofauti na sasa ambapo tumekuwa ni shamba la bibi,dampo la biadhaa duni za nje, uwanja wa kujaribia sera za kukuza uchumi...n.k
Tukiwapima wagombea wote kwa vigezo kama hivi na vingine vingi tu, ndio tutajua iwapo tumepata RAIS BORA au tumepata BORA RAIS
Otherwise Tundu Lissu for President? Nitakuwa mstari wa mbele kwenye kampeni kumpigania;
kuliko kutawaliwa na huyo, ni bora kukaa bila RAIS! period!
Kama uchaguzi wa raisi 2015 ungefanyika leo, basi ningeenda tu kupiga kura kama hawa wafuatao watakuwepo. Hapa nawapanga katika descending order, kwa maana kwamba kama atakuwepo zaidi ya mmoja ya hao waliopo kwenye list, basi aliye juu ndiye atakayepata kura yangu. Kwa maoni yangu, kati ya wanasiasa ninaowafahamu sasa, hawa ndio wenye uwezo wa kuperform uraisi hapa Tanzania.
- Dr W. Slaa
- Mh. F. Mbowe
- Mh. Dr. John Magufuli
- Mh. Edward Lowassa
- Mh. Tindu Lissu
NB; Masharti na vigezo (vya katiba) vimezingatiwa...
Kama uchaguzi wa raisi 2015 ungefanyika leo, basi ningeenda tu kupiga kura kama hawa wafuatao watakuwepo. Hapa nawapanga katika descending order, kwa maana kwamba kama atakuwepo zaidi ya mmoja ya hao waliopo kwenye list, basi aliye juu ndiye atakayepata kura yangu. Kwa maoni yangu, kati ya wanasiasa ninaowafahamu sasa, hawa ndio wenye uwezo wa kuperform uraisi hapa Tanzania.
- Dr W. Slaa
- Mh. F. Mbowe
- Mh. John Magufuli
- Mh. Edward Lowassa
- Mh. Tindu Lissu
NB; Masharti na vigezo (vya katiba) vimezingatiwa...
7. Mwigulu Nchemba
6. Ridhiwan Kikwete
Sharti nyingine awe fisadi. Vinginevyo, wawekezaji waliopo watapata shida.
hapo kwenye red, sharti mojawapo la katiba ya nchi ni kuwa na angalau degree moja.
Tuko pamoja.Kama uchaguzi wa raisi 2015 ungefanyika leo, basi ningeenda tu kupiga kura kama hawa wafuatao watakuwepo. Hapa nawapanga katika descending order, kwa maana kwamba kama atakuwepo zaidi ya mmoja ya hao waliopo kwenye list, basi aliye juu ndiye atakayepata kura yangu. Kwa maoni yangu, kati ya wanasiasa ninaowafahamu sasa, hawa ndio wenye uwezo wa kuperform uraisi hapa Tanzania.
- Dr W. Slaa
- Mh. F. Mbowe
- Mh. John Magufuli
- Mh. Edward Lowassa
- Mh. Tindu Lissu
NB; Masharti na vigezo (vya katiba) vimezingatiwa...