Top 5 wanaoongoza kwa kulala bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Top 5 wanaoongoza kwa kulala bungeni

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by mhalisi, Sep 12, 2011.

 1. mhalisi

  mhalisi JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,181
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Wadau ebu tutaje majina ya waheshimiwa watano wanaoongoza kwa kulala mjengoni kuliko wengine wote, na nani ni kinara wa kulala.
   
 2. NYENJENKURU

  NYENJENKURU JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  1.Komba
  2.Wassira
  3.A.Mrema
  4.Chenge
  5.Mteketa-Kilombero
   
 3. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,148
  Likes Received: 3,337
  Trophy Points: 280
  1.wassira 2. Komba.
   
 4. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Nadhani head boy wao ni Wassira na head girl wao ni Komba
   
 5. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #5
  Sep 13, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  kuna katabia bungeni wakati bunge lanaendelea Waziri Mkuu, Mizengo Pinda huwa anapiga soga na baadhi ya wabunge!
   
 6. Swager

  Swager Member

  #6
  Sep 14, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Ahahah..umemsahau anna makinda...
   
 7. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #7
  Sep 14, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Lakini wapo wengine ambao hawana majina wala record yoyote ya utendaji wanalala saana kama Chibulunje, lakini kwa sababu haongei sana basi wanahabari wana mute tu. Wale wanaomulikwa huwa wanajifanya much know. ukimstua hii kalala atakwambia mimi sikulala nilikuwa natafakari au nilipitia kadawa ka mafua wakati nakuja bungeni.
   
 8. M

  Mutukwao JF-Expert Member

  #8
  Sep 14, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chadema hasa mbowe
   
 9. R

  Ruhita Jr Member

  #9
  Sep 15, 2011
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sijui wapiga kura wao hujisikiaje wanapowaona wakisinzia Bungeni tena nyakati za mijadara.
   
 10. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #10
  Sep 15, 2011
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 697
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mteketa si ni yule mzee tapeli wa copper kapataje ubunge? Kweli hii nchi haina mwenyewe
   
 11. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #11
  Sep 15, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ivi anayelala na yule ambae bunge linaanza mpaka linaisha hajawai toa mchango ina tofauti gani!
   
 12. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #12
  Sep 15, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,696
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Bora ambaye hajawahi kutoa mchango kuliko yule anayeenda kulala bungeni!! Kuna aina nyingi za kuchangia...
   
 13. D

  Denbfinest New Member

  #13
  Sep 15, 2011
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kwel anapiga soga hv kwa nn wasiwe na kiranja wa kuandika majina ya wasumbufu?
   
 14. Alexism

  Alexism JF-Expert Member

  #14
  Sep 15, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 2,443
  Likes Received: 1,015
  Trophy Points: 280
  7.Jason Rweikiza Bukoba vijijini jamaa ata kuongea hajui mwambie kuwaza shule yake ya Amushenye-Kemondo Muleba road.Wananchi wake wanakula mabaki ya samaki a.k.a MAPANKI ata kama kiongozi wa kaya hanakanusha.DUH MAPANKI TUNAKULA MINOFU ULAYA,KWELI TULIDANGANYIKA.Nilitaka kuweka hiwe kama thread bt we can talk about this humiliation MAPANKI BUKOBA NI KUWAZALAU NA KUWAZALILISHA WANANCHI.Rweikiza,Tibaijuka,Kagasheki etc hamuyajui haya.source kikijini kwetu ninakoishi Itahwa-Karabagaine BUKOBA VIJIJINI.
   
 15. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #15
  Sep 15, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Bikiroboto amemlima bit katika kikao cha bajeti kilichopita. Nadhani mtoto wa mkulima na vilaza wenzake wa magamba wanaokwenda kupata desa kwake za jinsi ya kuwadanganya wadanganyika wakati kikao kinaendelea watakoma kabisa.
   
 16. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #16
  Sep 15, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Wassira....
   
 17. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #17
  Sep 15, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,015
  Likes Received: 2,669
  Trophy Points: 280
  Hivi ni kwa nini huwa wanalala kwenye jengo la sanaa?au huwa wanakesha club alafu asubuhi wanaunga kwenda kwenye jengo la sanaa?
   
 18. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #18
  Sep 15, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 526
  Trophy Points: 280
  Wasira ni funika bovu, kabla hajaingia bungeni anakula valium za kutosha kisha anashushia valeur kachupa kadogo. Utampenda
   
 19. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #19
  Sep 15, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,548
  Likes Received: 12,807
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  DINGI(WASIRA) KALA CHUMVI SIJUI KWANINI ASIRUDI KIJIJINI KUPUMZIKA!
   
Loading...