jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,381
- 25,476
HAMAS ilianzishwa na Israel ili ku counter balance PLO...Kina Ahmed Yasin Wakageuka na kuwa hardliners kuliko hata Abu Mazen mwenyewe...Ni kama Bin Laden, Saddam nk jinsi walivyokuwa wakipewa support na US na baadae kugeuka kuwa maadui wao wakubwa.