TOP 250 MOVIES From Imdb

TOP 250 MOVIES From Imdb

aaaau hizo za anord ni "given" kwa yeyote aliye jf wa late 80's au early 90's....ilikuwa sh 10/= enzi hizo. umeniumbusha mbali sana, kitambo home frelimo iringa
 
Nazikubali hizi
1.God father
2.Scarface
3.Gran Torino
4.Good will hunting
5.The Good, The Bad & The Ugly
 
Silence of the lamb....aisee umenikumbusha ile nyumba ya yule villain inashimo ndani. Lile shimo lipo kweli, nyumba iliwekwa for sell mwaka Jana ktk mtandao ikakosa mteja kwa ajili ya ile movie
 
SIKU NILISHANGAA TUKIWA CHUO KUNA WATU WA PHYCOLOGY WALIPEWA ASSIGNMENT YA MOVIE YA INCEPTION NA ILE YA TOM CRUISE YA VANILA SKY NIKASEMA DUU WE ARE NOT ALONE
 
Mimi English shida kwa kweli ndio maana sipendi kuangalia hizo movie zenu. Yaani movie mpaka nisome subtitles inachosha kwa kweli. Mara nimeweka pause mara nime-rewind yaani hakuna raha kabisa.

It's no wonder I'm very comfortable watching some African movies by Nigerians, South Africans and others.
 
Mimi English shida kwa kweli ndio maana sipendi kuangalia hizo movie zenu. Yaani movie mpaka nisome subtitles inachosha kwa kweli. Mara nimeweka pause mara nime-rewind yaani hakuna raha kabisa.

It's no wonder I'm very comfortable watching some African movies by Nigerians, South Africans and others .

Nini hasa shida
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom