CCM na kauli za VIONGOZI

swagazetu

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
4,251
1,467
hivi kauli hizi za viongozi zinatufundisha nini:
1.kuleni nyasi,ndege ya rais lazima inunuliwe(MRAMBA)
2.foleni dar ni ishara maisha bora(dr Jk)

3.acheni wivu wa kike(MSEKWA)
4.asiyeweza kulipa nauli apige mbizi(MAGUFULI)
5.baada ya kutumia helkopta ya jeshi kwenda nayo urambo"mlitaka nipande punda"?(KAPUYA)

6.wabunge wa dar wanafikiria kwa kutumia makalio(MA------)
7.ukitaka kula lazima uliwe kidogo(JK)

8.mnaniuliza mvua kwani mimi waziri wa mvua(WASIRA)
9.kila mwananchi atabeba mzigo wake(MKULO)

10.wapigwe ti tumechoka(PINDA)
11.wanafunzi wanaopaya mimba ni viherehere vyao.

kwa kauli hizi ccm na viongozi wetu hamuoni ni wakati wa kujirekebisha?
 
mbona hii post ilishawahi kuwekwa hapa then watu wengine wakaanza kufowadiana kwenye simu. It seems na wewe ndio umefowadiwa.
karibu Jf
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom