True ni nzuri.., but note popular among the majority in Dar..SAMSUNG NOTE series either NOTE 2 or NOTE 3....best technological with simple applications phone...anae bisha mchawi.
Tecno P5 hii ndio ile inauzws laki na 20 kama sijakosea. Hamna kitu pale. Labda kidogo angesema tecno A III
wew unataka iuzwe million ndio uamini p5 best. Tatizo lako hujawahi itumia ndio maana unabisha.mwaka huu homa zitawashika sana na hayo ma simu yenu ya ghali
Inategemea wewe una-hang around na watu wa caliber ya aina gani.., so siwezi kukupinga.., quality is also a criterion.., si popularity tu..Huu ni uongo Iphone haina watumiaji wengi, wengi wanatumia Tecno au Samsung Galaxy.
Tecno P5 hii ndio ile inauzws laki na 20 kama sijakosea. Hamna kitu pale. Labda kidogo angesema tecno A III
Hiyo itakuwa Tecno M3. Kumbuka pia kuna Tecno H5, P5 ni toleo jipya mno na bado ni Original haijawa copied haiwezi kuwa bei hiyo
Ooopss, Kumbe ni Dar-es-Salaam, List ya top 10 za mikoani lini?
Huu ni uongo Iphone haina watumiaji wengi, wengi wanatumia Tecno au Samsung Galaxy.
Top 5 not 10.
hapo kwenye Nokia Lumia ungeweka NOKIA LUMIA 625. Ndio toleo latest kwenye Lumia series na ina functions nyingi kuliko Lumia 520.
Hiyo itakuwa ya 12..Bb umeisahau
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
umewasha 3G hutaki chaji iishe?!