hahahaha kazi kweli kweliHiyo itakuwa ya 12..
hahahaha kazi kweli kweliHiyo itakuwa ya 12..
umewasha 3G hutaki chaji iishe?!
Sony experia
Sasa mbona hujamalizia countdown mkuu?Nataka nijue kama kasmart phone kangu kapo ili na mm nikija dar nisionekane wakuja.
sioni uzuri wa iphone kabisa
Guys twende turudi.....iPHONE 5S ndio baba lao....ukiwa nayo lazima ueshimike na watu wanaojua.... not everyone can afford this coz its very expensive...but the features are the best.
Chakunishangaza unamkuta mtu anayo hiyo simu ,naukimuangalia mahali anapo ishi chumba jiko kila kitu humo humo viyatu humo humo ukiangalia choo cha ni cha jumla jamala kula yake haisemeki wacha tu kingiacho mjini
Sio M3,ni M9 ALMAARUFU TECNO PHANTOM AIII. H5 na P5 nazijua.H5 ni kubwa kuliko P5. H5 ni laki na nasu hadi 55, P5 ni 120
Your right yaani. Kuna mstari wa kala jeremia anakwambia uza smartphone fuga kuku wa kisasa, unaniingia kichwani sana nina simu ya kupewa ila naona nikiiza plus nilichinacho mfukoni na nilichonacho kichwani nitakua mbali sana