supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,940
Ubaya zaidi ukimwita nifah alikiba anafurahi na kucheka sana. Hivi braza hauonagi wivu..!!
Huyu alikiba bifu letu linazidi kuwa kubwa.!!
geniveros na lips zake asipokuwepo sikubali...acha unaaa...au kwa kua wizooo hayupoo?!!
Sijakupendelea bali umestahili mkuuHapo umenipendelea bhana
Bora tu hata ingekuwa wivu peke yake!! Huwa nakasirika kinoma..Ubaya zaidi ukimwita nifah alikiba anafurahi na kucheka sana. Hivi braza hauonagi wivu..!!
Am humbledYuko vzr huyo Nifah coz huwa anafikir kwa kutumia ubongo
Na wa kike pia wapo wenye ID za kiumeWengine wanaume hapo, wana ID za kike
Mmmh, haya bwanaSijakupendelea bali umestahili mkuu
List inataka top 10 bado watano wamebaki nitaongezea baadae.
Habari zenu wakuu
Tukiwa tunaelekea kumaliza mwaka2016 na kuanza mwaka2017 nimeona si vibaya nikaleta list yangu ya madada bora kabisa hapa JF ambao kwa kiasi kikubwa michango yao kwenye thread mbalimbali imenielimisha&kuburudisha&kuonya pia kunipa nguvu ya kutokata tamaa katika maisha
1.Heaven sent
2.Faiza Foxy
3.Nifah yanga
4.Heaven on earth
5.Geniveros
6.Sky eclat
7.Evelyn salt
8.Atoto
9.Afrodenzi.
10.Miss Natafuta
Nathamini pia michango mizuri sana ya wana jamii forum wote ambao kwa kiwango kikubwa sana yamenifanya niendelee kuwa na furaha katika maisha yangu
Marry X mass & Happy new year to All JF MEMBERS.
Ikifika zamu ya JF Top 10 best male
1. Iceman 3D
2. Hance mtanashati
3. Peninsula
4. Gbefa
5. Zamiluni zamiluni
6. Bonny
7. Daby
8. STUNTER
9. Ushimen
10.
Aaahnipo pale hujaniona...
babu hana nomaa....wala nini!
mzungu yule ameishi sana Ulaya