Top 10 Miss AI

Top 10 Miss AI

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi kazi yake ni nin hasa?
Kuonyesha watanzania jinsi tulivyo wajinga, eti badala ya kujadili mambo ya kibunge wanampeleka robot kusalimia wabunge. Yaani tuna wabunge wapuuzi nchi hii basi tu.
 
Dunia inakwenda kwa kasi sana...

Warembo wa kusadikika 10 waingia kwenye fainali za kinyang'anyiro cha mlimbwende wa akili bandia(Miss AI) ambapo watachuana kugombania kitita cha USD 13,000.

Shindano hilo ndio linakuwa la kwanza kabisa kufanyika duniani ambapo jumla ya walimbwende wapato elfu moja mia tano walishiriki.

View attachment 3011473
Yule wa Nape yupo au ndo tulipigwa mazima ,
 
Kuonyesha watanzania jinsi tulivyo wajinga, eti badala ya kujadili mambo ya kibunge wanampeleka robot kusalimia wabunge. Yaani tuna wabunge wapuuzi nchi hii basi tu.
sisi bado tupo sana, nchi kama nchi tumeamua kununua robot,hahahah
 
Watu hawajui tofauti ya AI na Robot also Ai powered products
 
Back
Top Bottom