Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,313
- 46,825
Ila kuna watu/kampuni wana mipango mathubuti kwelikweli..kwahiyo ni corporates tu na unaweza kukuta wanakunja faida kubwa kinyama kuliko hawa wanaopitisha mishahara ya wateja wao ya 500k kwa mwezi.Wapo pegeout house upanga.. wao hawanaga utaratibu wa branches kila sehemu kama bank zingine.. wao wanaweka branch moja tu kila nchi kwa ajili ya kuhudumia makampuni makubwa na matajiri level za kina Mo ama Bakhressa tu.
Hawahudumii wateja kama mimi na wewe
Sent using Jamii Forums mobile app