Wazungu hawana longo longoMiddle East na Asia wametawala sana
hapo nawakubali Singapore Airlines na washkaji zangu wa Hong Kong Cathay Pacific
nina wasiwasi na ANA kama walistahili kuna siku nilijuta anyway hongera zao
Hiyo ndiyo halisi lazima wawekwe makada wa chamaWakiendelea kuweka wanasiasa na maswahiba wao wasio jua aviation ATC itaendelea kupumzika huko iliko hatakama utainunua ndege ishirini mpya
Yaani kama akili yetu ilikuwa pamojaWaarabu wengi wao kwao biashara ya Ndege ni ufahari na menejimenti wamemwachia Mzungu, nyie huku CEO wa kampuni ya Ndege ni kada aliyeshindwa ubunge huko LITUMBADYOSO.
Waarabu wengi wao kwao biashara ya Ndege ni ufahari na menejimenti wamemwachia Mzungu, nyie huku CEO wa kampuni ya Ndege ni kada aliyeshindwa ubunge huko LITUMBADYOSO.
You made my Sunday mkuuWaarabu wengi wao kwao biashara ya Ndege ni ufahari na menejimenti wamemwachia Mzungu, nyie huku CEO wa kampuni ya Ndege ni kada aliyeshindwa ubunge huko LITUMBADYOSO.