mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 30,703
- 37,308
dodomaLeta stendi za bus hapa wacha maneno mengi
dodomaLeta stendi za bus hapa wacha maneno mengi
morogoro
Kwahivyo vihi vijumba hivi vitatu ndo vinawafanya muwe Middle income kutushinda sio??? Total cost yake haipiti hata $50Mdodoma
ndio maana tunashangaa middle income inashindwaje kujenga,jiji linakaa na stand kama mabanda ya nguruwe.Kwahivyo vihi vijumba hivi vitatu ndo vinawafanya muwe Middle income kutushinda sio??? Total cost yake haipiti hata $50M
Kama tunaweza kujenga mji mzima ndani ya jiji kuanzia chini hadi juu ikiwemo reli, hatuwezi shindwa na vi stendi vya buss ambavyo havigarimu zaidi ya $50m, issue ni priorities tu! manake serekali yetu ikiamua kuwachomoa na stendi mtapakimbia hapa EAC.ndio maana tunashangaa middle income inashindwaje kujenga,jiji linakaa na stand kama mabanda ya nguruwe.
priorities eh???Kama tunaweza kujenga mji mzima ndani ya jiji kuanzia chini hadi juu ikiwemo reli, hatuwezi shindwa na vi stendi vya buss ambavyo havigarimu zaidi ya $50m, issue ni priorities tu!
Sh 28bn Railway City takes shape as authority formed
Kwani hukusoma mahali hizo data zimetoka. It's a recent survey.Haya mambo si unafungua tu akaunti huko mtandaoni na ku post upupu wowote tu baada ya kushiba!? Au katumia vigezo gani kupata hizo ranks?
Bado hajawahi kutushinda kwa logistics/infrustructure, kwahivyo inadhihirisha our priorities work for uspriorities eh???
hold our glass..
sisi maneno tuliishawaachia,kama mnanunua train ya 47s these ela,guys mko na logistics kabambe sana.Bado hajawahi kutushinda kwa logistics/infrustructure, kwahivyo inadhihirisha our priorities work for us
Huku ndo hua hamuelewi, unaangalia sura ya treni badala ya kuuliza uwezo wa reli kubeba mizigo....sisi maneno tuliishawaachia,kama mnanunua train ya 47s these ela,guys mko na logistics kabambe sana.
Kenyans are too talkative.Huku ndo hua hamuelewi, unaangalia sura ya treni badala ya kuuliza uwezo wa reli kubeba mizigo....
JKIA airport ya kitambo lakini abiria wanapita faster faster mwisho wa mwaka tunapitisha abiria wengi kuliko airport zote ukijumlisha TZ,,,,,,,, Huku TZ mnajisifu na Terminal mpya pale JNIA wakati haifikii JKIA hata nusu kwa abiria.
Unataka ujisifie stendi tatu za bus badala ya kujua sector ya chukuzi hubeba abiria wangapi na mizigo kiasi gani kwa mwaka.
-----------------------------------------------------------------
Siku zote mtajikuta mko nyuma yetu manake inakaa hata hamfahamu nini kinafanya nchi kusonga...
wakati kama huu tunachimba bwawa la umeme,tunajenga train ya umeme,tumetanua uwanja,tunaboresha bandari.hamuwezi tuelewa sababu mliishafika mwisho,mnaona ni kama tunarudia mliyokwisha fanya,as you said mko na namba kubwa kila sehemu.Huku ndo hua hamuelewi, unaangalia sura ya treni badala ya kuuliza uwezo wa reli kubeba mizigo....
JKIA airport ya kitambo lakini abiria wanapita faster faster mwisho wa mwaka tunapitisha abiria wengi kuliko airport zote ukijumlisha TZ,,,,,,,, Huku TZ mnajisifu na Terminal mpya pale JNIA wakati haifikii JKIA hata nusu kwa abiria.
Unataka ujisifie stendi tatu za bus badala ya kujua sector ya chukuzi hubeba abiria wangapi na mizigo kiasi gani kwa mwaka.
-----------------------------------------------------------------
Siku zote mtajikuta mko nyuma yetu manake inakaa hata hamfahamu nini kinafanya nchi kusonga...
Kwani hukusoma mahali hizo data zimetoka. It's a recent survey.