Top 10 African countries with the most internet users

Ila YouTube, video za wasanii Tanzania zimepitwa na South Africa+ Nigeria tu. You see how contradicting hizi stats zipo.
 
1.Nikitaka kwenda Coast/pwani natumia SGR.
2.Nikitaka kwenda Kisumu natumia MGR.
3.Nikitaka kwenda Nyeri natumia MGR.
4.Within Nairobi natumia Uber.
5.Nikitaka kufika Turkana ndege ksh6000 imenitosha round trip tena.
Mabasi Ni ya kuunga unga tu hapa na pale soon bus trips zitakuwa maybe za kutalii. Ndio maana nasema Tz iko in the 80s 😁

Ati 2018 kulikuwa na mgomo hujui kuwa Dar Kila siku Ni Kama kuna mgomo
View attachment 1504462View attachment 1504463View attachment 1504464
Ngai mwathani!!!!! Hiyo ni soko ama ni nini? Watu wanajazana kwa 14 seater ni kama orbit.
 
This video rank 15igehst African countries with a number of internet users. Internet users are defined as persons who accessed the Internet in the last 12 months from any device, including mobile phones. Estimates are derived from either household surveys or from Internet subscription data. Internet users compare the number of users within a country that access the Internet. Statistics vary from country to country and may include users who access the Internet at least several times a week to those who access it only once within a period of several months.

Source: macro trends, internetworldstats
Mnadanganywa. Leteni statistics tuone. Nimeaangilia watu famous Kenya hata followers wao ni utopolo tu.

Linganisha kenya na tanzania

Mnadanganywa sana na mnadanganyika
Screenshot_20200713-130850.jpg
Screenshot_20200713-130937.jpg
Screenshot_20200713-131238.jpg
Screenshot_20200713-131325.jpg
Screenshot_20200713-131522.jpg
Screenshot_20200713-131640.jpg
Screenshot_20200713-132140.jpg
Screenshot_20200713-132248.jpg
Screenshot_20200713-132435.jpg
Screenshot_20200713-132518.jpg
Screenshot_20200713-132539.jpg
Screenshot_20200713-132608.jpg
 
Internet Tz Ni ya umbea hapa Kenya Ni ya kufanya kazi.
 
This video rank 15igehst African countries with a number of internet users. Internet users are defined as persons who accessed the Internet in the last 12 months from any device, including mobile phones. Estimates are derived from either household surveys or from Internet subscription data. Internet users compare the number of users within a country that access the Internet. Statistics vary from country to country and may include users who access the Internet at least several times a week to those who access it only once within a period of several months.

Source: macro trends, internetworldstats

KE: 99% of the population
UG: 40% of the population
TZ: 38% of the population
 
Ila YouTube, video za wasanii Tanzania zimepitwa na South Africa+ Nigeria tu. You see how contradicting hizi stats zipo.
na hao tunachapa gape kwa speed within one nigh views.

mkenya anakwambia wao wako twitter, wanatumia internet kwa mambo ya msingi tu.

katika hiyo video tz imepanda chart kwa haraka sana kwa miaka 6,tunakwenda kushindana na ndugu zetu wanigeria kule waliko.
 
Sasa uko na status ya middle income mwaka wa 7 na huna modern bus stand hata moja.
Afadhali ungeringa na vitukama barabara, stendi moja ya bus sio kitu cha kuringa, ni kama vile mimi niseme Tz hamna mall kubwa kama TwoRivers
 
Afadhali ungeringa na vitukama barabara, stendi moja ya bus sio kitu cha kuringa, ni kama vile mimi niseme Tz hamna mall kubwa kama TwoRivers
stand moja ya bus ipi??,sisi tuna stand moja ya bus!!!!.

hata hizo barabara ni sehemu ya miundombinu kama hizo stand za buses.kama mnajenga malls kubwa kubwa na mnaacha stand za magari hii ni kukosa dira kama vipepeo.

eti jiji lililoendelea EA
 
Hebu niambie mna standi ngapi za bus, na ulete na picha kabisa
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom