Top 10 African Countries With the Most Chinese Debt

Top 10 African Countries With the Most Chinese Debt

Uchumi ulio kufa ni Wa mfuko wako
Pole sana
Sibishani na mtu ambae hata hujui jinsia yako ni gan.sembuse kujua hali ya uchumi wa nchi ikoje, mfano Sekta bnafsi, mabenki, kilimo na bei za mazao hali ikoje. Sijui mnaokotwa wapi vilaza na mazwazwa km nyie. Eti ndio watetezi.
 
Hii ni jibu kwa all haters wa Serikali wanaoisingizia kwa kila jambo baya. Baadhi hadi wanajisikia vibaya kuona Tanzania tumekosekana katika top 10, right?
Well said
Mchukia kwao mtumwa walahi
Watumwa wa milele hiyo mijitu walahi
 
China anaenda kutupakata. Tulijihadhari na mzungu tukasahau na mu-Asia.

Nchi zetu haziipi sekta ya uchumi kipaumbele kabisa. Tupo kwenye siasa, siasa, diplomasia lakini uchumi wa nchi nyingi za Kiafrika upo uchi...

Wenzetu wao wapo wanatupiga chini kwa chini.
 
Mhhhh! FUNDRAISING INABIDI IFANYIKE KAMA TAIFA KILA BAADA YA MIEZI 3 KUJIEPUSHA NA MADENI YA MCHINA KUEPUSHA RESOURCES ZETU KUZIWEKA DHAMANA KWAKWELI. inatisha sana kwa mwafrika
 
Duh, afadhali Tanzania hatumo, Wazungu wanatutawala, na Wachina nao watutawale...afadhali hatumo.

Vv
 
Jiwe alishtuka mapema zile dollar billion 7 za SGR zingetuua
 
Sibishani na mtu ambae hata hujui jinsia yako ni gan.sembuse kujua hali ya uchumi wa nchi ikoje, mfano Sekta bnafsi, mabenki, kilimo na bei za mazao hali ikoje. Sijui mnaokotwa wapi vilaza na mazwazwa km nyie. Eti ndio watetezi.
Nimekubia Mfuko wako Ndio Ndio umeyumba
Nakupa pole kwa mara yapili
 


MATAIFA KUMI BORA AFRIKA YANAYODAIWA NA CHINA.

10. Congo DRC - Usd 3.4 Billion.

Taifa hili lilikuwa Taifa la kwanza kabisa kuingia Mikataba ya Mambo ya madini na Taifa la China.

09. GHANA - Usd 3.5 Billion.

Hali ya Ghana kiuchumi ni Mbaya kwa sasa kiasi kwamba imebidi wayakubali Masharti kadhaa ya IMF ili waweze kupewa Masaada wa pesa ili walipe deni la China.

08. NIGERIA - Usd 4.8 Billion

Kutakana na deni hili kuwakaba koo, Taifa hili kubwa la Afrika ya Magharibi sasa imebidi liikubali Shilingi ya China (Chinese Yen kutumika kama fedha ya kigeni katika Taifa lao - Foreign Currency)

07. CAMEROON - 5.5 Usd Billion

China imekubali kuwasamehe Cameroon sehemu ya Deni hili kwa masharti ambayo hayajawekwa hadharani.

06. ZAMBIA - 6.0 Usd Billion.

China imechukua Shirika la Umeme la Zambia kama Sehemu ya Malipo ya deni hili mara baada ya Zambia kushindwa kulipa...Republic of Zambia sasa unaweza kuiita "Repupuliki ofu Chambia"

05. SUDAN - 6.4 Usd Billion

Sudan kwa sasa wamepeleka Ombi maalumu huko China kuomba Msamaha wa Sehemu ya Deni,

04. CONGO BRAZAVILLE - 7.3 Usd Billion

Deni hili kwa sehemu kubwa Limesababishwa na Rushwa iuliyoshamiri nchini humo, fedha nyingi zimeliwa bila manufaa yoyote, Hali tete.

03. KENYA - 7.9 Usd Billion

Mabilioni haya mengi yalikopwa kwa ajili ya miradi ya miundo mbinu, lakini fedha nyingi zimeliwa na wajanja, Deni hili kubwa limechochewa hasa na Rushwa, Reli ya SGR kenya imejengwa kwa Gharama mara 4 zaidi ya Gharama za viwango vya kimataifa ..hata hivyo kenya imeongeza Ushuru wa Mafuta na bidhaa mbali mbali ili iweze kulipa deni hilo, na pia imeomba Msaada IMF na kuyakubali Masharti yao.

02. ETHIOPIA - 13.5 Usd Billion

Walikopa mapesa mengi kwa ajili ya maradi wa reli ya kutoka Ethiopia kwenda Djibouti, deni hili kubwa leo linawagharimu.

01. ANGOLA - 25 Usd Billion.

China wanaendelea kuchukua Mafuta kwa wingi huko Angola kama Sehemu ya malipo ya deni lao.
Mbona orodha imetoka ni ya nchi za Africa tu mbona hawasemi nchi za Ulaya na America zinadaiwa kiasi gani? Huu ni uchochezi
 
Ungeweka website iliyoongelea hayo!
 
Back
Top Bottom