Hii ndiyo ile taasisi ya kuzalisha na kuendeleza rushwa tanzania? Nasikia katika uchaguzi wa ccm uliopita maeneo mengine (mf Bukoba) wajumbe walihongwa elfu 50 na maofisa wa takukuru waliokuwepo laki 500
Siyo kama pccb haifanyikazi hila mfumo uliyopo ndo unaofanya ionekane hvyo kua haifanyikazi hata hyo mnayosema inawezekana imeshafanyiwa kazi hila issue inakua kwa dpp kesi nyingi ndo zinakwama pale,kama vp toeni maoni ktk katiba mpya hili ipate nguvu zaidi ikiwezekana kesi zake zisipite kwa dpp muone kitakacho tokea.