Toons

tamaa.jpg

Hii kali mkuu, cheki smile yake.

Lakini sio kosa lake wamemislead ona tangazo alilolifuata liko in bold na red wakati la maji liko faint kabisa.

Hayo yote tisa tisa, atatambaa kilomita 21 kweli, nadhani atakufa kabla ya kufika.

Moral of the cartoon:
Before making a decision see what the cathch is.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom