Tool box yenye spana original.

algebra2

Member
Mar 13, 2017
26
45
Wakuu bilashaka mmeamka salama. Naomba ushauri wenu katika hili. Kimsingi nataka nifungue kigarage hapa mtaani kwetu na nahitaji vifaa vya kufanyia kazi. Lakini binafus sijajua vifaa hasa aina za spana nnazotakiwa kununua mojamoja (hazimo kwenye tool box) na ni bei gani.
Nawasilisha, ahsante.
 
LEGE

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
5,105
2,000

Kama sijakuelewa swali laki na hitaji lako mkuu.

Kwanza wewe ni fundi kweli au.maana napata maswali kama unataka kufungua gereji harafu hujui spana unazotakiwa kununua.

Unataka kufungua gereji ya kutengeneza nini.utakuwa una deal na magari ya aina gani na unatengeneza nini.

Kwa haraka haraka nunua kuanzia spana namba 8 mpaka 24.

Hapo kuna aina nyingine lazima uchanganye ununue namba hiyo hiyo zaidi ya moja.mfano 12 fix,box,na ring.

Kama unaweza nunua tool box complete utapata vitu vyote mhim.

Kama unaeleke kiwanda cha cocacola kuna duka la spana kubwa hivi utazipata kwa bei nzuri
 
mysterio

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
3,837

Wewe sio fundi, hujui spanner za kununua kweli!!!!!? Lazima ujue ni magari gani una uwezo wa ku-repoair kwa sababu sio kila gari linatumia spanner, brand nyingine ni allen keys.
 
algebra2

Member
Mar 13, 2017
26
45
Kama sijakuelewa swali laki na hitaji lako mkuu.

Kwanza wewe ni fundi kweli au.maana napata maswali kama unataka kufungua gereji harafu hujui spana unazotakiwa kununua.

Unataka kufungua gereji ya kutengeneza nini.utakuwa una deal na magari ya aina gani na unatengeneza nini.

Kwa haraka haraka nunua kuanzia spana namba 8 mpaka 24.

Hapo kuna aina nyingine lazima uchanganye ununue namba hiyo hiyo zaidi ya moja.mfano 12 fix,box,na ring.

Kama unaweza nunua tool box complete utapata vitu vyote mhim.

Kama unaeleke kiwanda cha cocacola kuna duka la spana kubwa hivi utazipata kwa bei nzuri
Nashukuru kamanda Lege, swali langu ni kutaka kujua vile vifaa havimo kwenye tool box na ni vya msingi kuwa navyo wakati wa Kuanza hii kazi. Mkuu Kwan tool box nitapata kwa bei gani kwa sasa?
 
LEGE

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
5,105
2,000
Mkuu hapo pesa yako ndio itakunyima hivyo vitu.lkn ukiwa na pesa ya kutosha utakuwa na vitu vyakutosha pia
Nashukuru kamanda Lege, swali langu ni kutaka kujua vile vifaa havimo kwenye tool box na ni vya msingi kuwa navyo wakati wa Kuanza hii kazi. Mkuu Kwan tool box nitapata kwa bei gani kwa sasa?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom