Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,673
kujielewa kunaenda sambamba na msimamo..yani vile anavokazia msimamo kwamba hawez kudate na mwanaume yyte wala kumuacha mme au mpnz wake sabb kashaahidi au kashaolewa..hapo pia kuna kujielewa yupo position gani na nini anachotakiwa kufanya au kuwa vipi..Good... umefafanua vizuri. Mwisho wa siku is not about sura... lakini ni je mwanamke mwenyewe anajielewa.
inategemea..mi nnae nimewakataa wenye magar na majumba nkabaki naye..anaishi gheto tu but ntamshika mkono mpk afanikiwe cz ni mtu mmoja ambitious halafu msomi sharp sio kilaza.Mbele ya pesa?
kakangu utazeeka jamani..changamka wakikukimbia wakimbizeBasi ndio maana sina girlfriend mpaka muda huu, nafikiri I'm too handsome to have a girlfriend.
I regret sikuweza muweka ndaniHii ni past tense hukumuweka ndani beauty queen?au na wewe ulipata wasiwasi!
Unajua ukiwa handsome sana wadada wanaogopa wenyewe wanadhani hawatakuwa peke yao,so mwisho wa siku unaishia kukimbiwa tu....kakangu utazeeka jamani..changamka wakikukimbia wakimbize
akuuuuNalendwa ni pacha wako,,..!?
akuuuu
Yep! Unayashinda majaribu.wapo wanawake wazuri saana tu wanaolewa..
haya mambo hayana fomula...wapo wameolewa wameolewa wametulia..na kuna wengine hawana msimamo wakitongozwa nje wanalega msimamo wao..
kutotulia na mtu mmoja na umalaya ni hulka za mtu binafsi.
ukitongozwa na hata waume kumi kwa siku waeleze tu nishawahiwa hlf unakaza msimamo unaridhika na ulienae..si basi!!!
Tunatulia sana tu,sema tu wanawake wenyewe wanatuogopaTuambie vizuri basi wewe handsome, ni kweli hamtulii au woga wetu..
Attitude?!!,...thought she was coming real!
..Really!, haha!, wookey!..
But you guys are of complex sometimes.