Too good for me???

My dear michelle,most of us guys mara nyingi hatujali makosa uliyotenda huko nyuma.tunaelewa kuwa binadamu lazima atende kosa ili ajifunze kwahiyo ondoa wasiwasi ila ishu inakuja mtu anapokuwa na upendo mwingi na upole,mwenza wake anaharibu kwa kuleta dharau na kiburi.muheshimu,kuwa mwaminifu and never hurt him.sisi ambao ni bad boys zamani tulikuwa kama huyo jamaa yako ila wapenzi wetu walitudharau wakatutenda ndo maana we are now badboys
 
Sometimes I'm good sometimes i am bad it depend on that days mood. I can tell you, girls likes the smiling part of me.
 
Kama kuna mtu atanionea Michelle leo:

Naomba amwambie babu anammisi sana, na anasikitika na kumuuliza kwanini ananipotezea namna hii?

Babu anarudi kitandani kusikitika.

Homie hapo inakuwaje unakataa kona unakubali penati? LOL
 
Wanameeeremeta...waaanameremeta.Dearest na MS wanameremeta wanameremeta.
he he he he mapemaaaa tote hii dearest,hata Mtoboasiri hajaaamua vizuri???? angalia usijefurahia mapema,ukaja lia atakaponimwaga....l.o.l
 
Kama kuna mtu atanionea Michelle leo:

Naomba amwambie babu anammisi sana, na anasikitika na kumuuliza kwanini ananipotezea namna hii?

Babu anarudi kitandani kusikitika.

Michelle mjukuu wako anakumiss pia sana,naye anajiuliza kwanini Babu anampotezea namna hiyo,ni kwa lile kosa moja tu????
Michelle hapendi babu asikitike,hivyo anakuja kuzungumza na Babu na kumpa pole kwa masikitiko yote aliyomletea.....:A S-rose:
 
...Michelle hapa ndio kumekucha sasa, ngoja nijaribu tena kujibu.
Hali hii naamini inatokana ukomavu wa maamuzi yako.
Raising the bar (level)...

Ni sawa na kiwango cha ubora.
Iwapo utakwenda dukani, Una choices kati ya bidhaa ya mchina yenye Guarantee ya mwaka mmoja
na bidhaa ya Muingereza yenye Guarantee ya miaka mitano. Ukaona 'aah...acha nipige bajeti hapa ninunue hii mchina,!' Ujue kiwango cha ubora ushapunguza hapo.

Kwenye maisha ya Mapenzi, inafikia kipindi ni bora uende kwenye level ambayo unajua utahitajika kufanya kazi ya ziada kuliimarisha pendo na maisha. Ubora na thamani vinaendana sambamba.

Raise the bar!!!

I will raise the bar....thank you Mbu,kumbe ukiwa umeamka una point hivi....l.o.l
 
mpoleeeeeee huwa ni noma akikasirika

Nilifikiri nimekutana na mpole, nikawa navutana naye kwenye mivao flaniflani asiyoitaka na mimi ndio kwanza naizimia.
Akanikuta mjini akanipakia mpaka kwake (njiani tulipitia shop tukanunua nguo) nikachukulia poa.

Tulipofika tu chumbani akaniambia nifute madirisha na kudeki barazani akaniambia nibadilishe nguo ili niliyovaa isichafuke.Wakati naendelea kufuta akanimbia badilisha tambara akanipa ile nguo niliyovua.Nikazubaa akaitupa kwenye maji,nikamjia juu gafla nikaambulia kibao, tena kibao nikalazimika kudekia nguo yangu kipenzi.

From that day mdada akiniambia ana mwanaume mpole huwa nakumbuka hii picha. Jamani wapole wana mipaka yao ukivuka itaipatapata.

thank you for sharing your expeience....will be careful.....l.o.l
 
My dear michelle,most of us guys mara nyingi hatujali makosa uliyotenda huko nyuma.tunaelewa kuwa binadamu lazima atende kosa ili ajifunze kwahiyo ondoa wasiwasi ila ishu inakuja mtu anapokuwa na upendo mwingi na upole,mwenza wake anaharibu kwa kuleta dharau na kiburi.muheshimu,kuwa mwaminifu and never hurt him.sisi ambao ni bad boys zamani tulikuwa kama huyo jamaa yako ila wapenzi wetu walitudharau wakatutenda ndo maana we are now badboys

Thank you so very much dear for a great advice....ila hapo pink pameniumiza sana.....kwanini uwe bad boy? hata sisi tumefanyiwa visivyo lakini tunasamehe na kusonga mbele....najua ma bad boys wengi wanaumiza wasichana hata walio na nia njema na wanaowapenda kweli.....kwa ushauri ulionipa,hupaswi kuendelea kuwa bad boy,unapaswa kuwa good boy sasa!!!
 
Sometimes I'm good sometimes i am bad it depend on that days mood. I can tell you, girls likes the smiling part of me.

Elia bana...smiling part of you inawafanya girls wafanyeje? wasione mapungufu yako??? au inakusaidiaje???
 
Kaizer,hujanielewa....nafahamu kabisa mtoto ni zawadi kutoka kwa Mungu,ila naomba nikuhakikishie wapo wanaume pindi wanapoambiwa nina mtoto/watoto,uhusiano ndo umeikia mwisho,utasikia siwezi kulea mtoto wa mwanamme mwenzangu,siwezi kuoa mwanamke mwenye mtoto,familia yangu itanionaje sijui nini???? nilichomaanisha ni kuwa vitu ambavyo ni sihu kubwa kwa baadhi ya wanaume,unakutana na mtu ambaye hajali kabisa,na si tatizo kwake.....nisamehe kama nimeku-dissapoint!!!
Ni kweli kabisa, Inapofikia mahusiano kati ya mwanamke mwenye mtoto na mwanaume asiye baba ya mtoto inataka maelewano ya hali ya juu toka mwanzo,Ukikutana na mtu asiyeonyesha kujali lazima uwe na maswali mengi, hii ni sawa kwa mtu yoyote, Manake lazima utake kujua muendelezo wa mahusiano kati yako na huyo mtu, pia kati ya mtoto na huyo mtu lakini pia feeling zake kwa mahusiano yako na Baba wa Mtoto,
Ninao Mfano: Shemeji yangu alikuwa amezaa kabla ya ndoa, alipopata mchumba, mchumba alitaka kuhakikishiwa kuwa hakutakuwa na uhusiano kati Mama na Baba halisi ya mtoto, na Baba halisi aliambiwa kuwa hana haki na mtoto, na mtoto akapewa Baba mpya kwa kubadilisha mpaka majina.
 
Homie hapo inakuwaje unakataa kona unakubali penati? LOL
Kimeumana.......:biggrin1::biggrin1:

Michelle mjukuu wako anakumiss pia sana,naye anajiuliza kwanini Babu anampotezea namna hiyo,ni kwa lile kosa moja tu????
Michelle hapendi babu asikitike,hivyo anakuja kuzungumza na Babu na kumpa pole kwa masikitiko yote aliyomletea.....:A S-rose:

Thats my favorite kajukuu on earth.
Babu hajampotezea Michelle wake,
Babu ameshamsamehe Michelle wake,
Babu anampenda sana Michelle wake

Babu anamkaribisha Michelle wake kwakuwa: Michelle alimwambia " I understand that God did not put in me the ability to always make right decisions.He did,however put in me the ability to make a decision and then make it right.My mind will live in the solution of the future"
 
Nashukuru sana Babu kwakuwa una hekima na ni muelewa,
am so happy kuwa Babu's favourite.....ngoja waje wajukuu wengine....:grouphug:
Michelle amekaribia na anampenda Babu zaidi na zaidi.....!!
 
Nashukuru sana Babu kwakuwa una hekima na ni muelewa,
am so happy kuwa Babu's favourite.....ngoja waje wajukuu wengine....:grouphug:
Michelle amekaribia na anampenda Babu zaidi na zaidi.....!!

Usisahau kuniletea ugoro na mkongojo....ule wa kichina ulonletea umepinda.....babu ataanguka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom