Too Big

Too Big

Sizinga

Platinum Member
Joined
Oct 30, 2007
Posts
9,543
Reaction score
7,383
33ysuts.jpg
 
Je hii ni kweli ama Fiction tu, Huyo jamaa kajaa kweli kweli na msosi huo wote ataumalita tu. je yupo nchi gani huyu jamaa, pima size yake na mwenziwe hapo mezani. mimi natizama tuuuuuu asije kwetu akatumalizia kabudget ketu.
 
huyo ndo Great Khalii mwanamieleka mwenye asili ya pakistani.....duh! jamaa kaunganisha viti vitatu. Sio fiction jamaa ni mkubwa haswaaa
 
Huyu jamaa ni muhindi man, hapo ni India, huyo jirani ni Salman Khan
 
duuuuuhhh huyu kuku wa4 si anaweza kula asubuhi tu tena peke ake
 
Back
Top Bottom