Tony Blair asikitishwa na ushindi wa Trump

Apr 23, 2016
43
21
Baada ya Kasich kujitoa kwenye mbio za urais na hivyo kuweka mazingira ya Donald Trump kunyakua tiketi ya chama kwenye uchaguzi mkuu, Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza ameonekana kusikitishwa na ushindi huo wa Donarld Trump na kusema upo uwezekano mkubwa wa nchi za magharibi kutengwa kutokana na sera zisizoeleweka za Donald Trump.

muhula ujao rais wa America anapaswa kuonesha leadership na sio kujitoa katika matatizo yanayoikumba dunia ikiwema vita , alisema Blair.
===============

John Kasich suspended his campaign, and Ted Cruz dropped out last night. It is now likely that Donald Trump will clinch the Republican nomination and move on to the general election.

Democratic candidate Bernie Sanders, however, is still hanging on in his battle against frontrunner Hillary Clinton. Sanders, who won the Democratic primary in Indiana last night, celebrated by tweeting “The political revolution wins!” to his two million followers.

Former U.K. Prime Minister Tony Blair has been paying close attention to the Trump and Sanders races and has some thoughts on the popularity of the unconventional candidates.

“There are insurgent movements to the right and the left that are very populist, very charged with emotion. They’ve come out of people’s anger—they feel that the system isn’t responding to their needs,” he says.

It’s a global phenomenon, according to Blair. “This is going on in the U.S. with Donald Trump on the one side and Bernie Sanders on the other side, but frankly it’s happening all over Europe,” he says. Blair’s own center-left Labour Party has struggled to find its voice recently. The party is projected to lose 175 council seats in local elections Thursday, which would mark the worst Labour performance in 35 years.

As wealth stratification rises in the U.S. and through Europe, Blair says the middle class feels underrepresented by government. Nontraditional politicians are picking up on that anger and using it to boost their campaigns, but Blair warns that “anger and answers are two different things, and ultimately we need answers.” Blair worries that the popularity of populist politicians will lead to policy that is harmful to the U.S.

Isolationism would be a disaster for the West, Blair says. “If you start shutting down free trade, you’re not going to create new jobs. You may think you are, but you’re not,” he says. Trump has spoken out against trade agreements such as NAFTA and plans to tighten immigration policy.

Blair says the next U.S. president must be fully engaged in world affairs. “There are new powers arising, there are big challenges around geopolitics, and I want to see an America that’s strong and engaged and providing leadership.”

Centrist politicians, he adds, “need to get their mojo back.” Blair believes they come across as stale and out-of-date to disgruntled voters. Candidates, he says, can no longer have a “this is complicated, leave it to us,” attitude.

“People are looking at the U.S. and scratching their heads a little bit, [but] it’s happening everywhere,” says Blair
 
Attachments

  • tony ashangazwa na ushindi wa trump.doc
    24 KB · Views: 86
Sijui itakuaje Trump akiwa rais,
david cameroon alimtukana akamwita,a fool,an id.iot na bado uingereza inasema kuwa haitaomba msamaha hata kama atashinda,
pakistan nao wamemsemea mbovu Trump.
Lakini huyo jamaa uwezekano wa kupita ni mkubwa sana,
 
Marekani inafanya maigizo tu kujifanya kumpinga Trump lakini ukweli ni kuwa Trump ni Project waliyoichonga wao wenyewe kwa malengo yao.
Ni kama wana mpango wa kupunguza 'marafiki' au wanafanya switching ya systems zao na kuiaminisha dunia kwamba the will and choice of the few cannot be beyond the the power and will of the majority.
Watu wameingizwa mkenge kumpinga Trump, mwisho ndiye mtakaeletewa kwa kuwa ni chaguo la wamarekani.
Kuna watu wamelengwa kwenye hii Project ya Trump. Mtashangaa Marekani itakapoanza mwelekeo mpya kabisa mbali na ule uliozoeleka.
 
Sijui utokee muujiza gani. Trump hawezi kuupata uraisi wa Marekani. He is a buffoon and an idiot. Although Americans did elect a village idiot a decade and half ago, I bet they won't repeat the mistake this time around.
I don't understand watu wanapomsifia kwamba ni strong kwa sababu tu ameropoka maneno fulani. Na ukiangalia vizuri unakuta misimamo yake hiyo ni kigeugeu. Sijajua hiyo strength wanayoizungumzia iko wapi.
 
Dunia imeshavurugika kupita kiasi.
Wacha achukue Hio nafasi tumalizane kabisa.
Anapiga mkwala Mexican wasiingie wakati kuna Mexicans zaidi ya populationa ya Tz huko US!

Hii ganja anayopuliza ntamuomba sampo na mimi niijaribu.
 
Hao lazima baadaye watakuja kumpongeza Na kumshukuru kwa kazi nzuri atakayo ifanya Trump
Na ikumbukwe kuwa Trump alisha sema huu ni wakati wa dunia kuongozwa kwa ukweli. sio kisiasa. kwamaana siasa siku zote ndio zinaleta
Matatizo.
Na hao wanao mlaumu Trump ndio wale walio athilika na siasa.
Lakini nadhani kwa kipindi cha Trump watajionea utofauti. Na watajifunza mengi.
 
Sijui utokee muujiza gani. Trump hawezi kuupata uraisi wa Marekani. He is a buffoon and an idiot. Although Americans did elect a village idiot a decade and half ago, I bet they won't repeat the mistake this time around.
I don't understand watu wanapomsifia kwamba ni strong kwa sababu tu ameropoka maneno fulani. Na ukiangalia vizuri unakuta misimamo yake hiyo ni kigeugeu. Sijajua hiyo strength wanayoizungumzia iko wapi.
Wewe nimegundua unapenda kufuata akili za watu flani ambao hawanaga akili timamu.
 
The next president of united states is 'Hillary Clinton' utegemei Trump ashinde a person who is against western political values, a political amateur to be entrusted with the powerful position on earth, hana language skills za kuongea na viongozi wa dunia; hana back up ya chama 100%, hana back up ya national security, hana back up ya American allies 'Tony Blair' is one of many who have raised their concerns. Besides they dont rate him highly skills wise as the person who could lead their agenda globally efficiently; isitoshe delegates zote alizoshinda only counts for 7% of total election votes and there are lots of groups which did not vote for him.

Republicans washakubali Clinton is the next president taratibu; kilichobaki ni formalities tu za uchaguzi na kwao nikuhakikisha such mistakes do not repeat in the future expect the return to the old ways of nominating from within.
 
Kurudisha umoja wa ukweli ndani ya US, Wamuache Sanders achukue...lakini Trump...atavuruga sana mipango mingi ya 'conservatives'
 
Wewe nimegundua unapenda kufuata akili za watu flani ambao hawanaga akili timamu.
I have no idea what you are talking about. Unaweza kujifurahisha kwa matusi badala ya kujaribu kupata maarifa ya kweli. Nipo US sasa hivi. Nitakuwa hapa kwa kama mwezi hivi. Ninausoma upepo hapa. Trump hatashinda. That is my prediction kutokana na ninavyousoma upepo. Nikupe hoja moja-mbili.
Ili ashinde, Trump anahitaji support ya kiwango kikubwa cha Republican party. Ingawa ameshinda kwenye kinyang'anyiro hichi, bado unaona kwamba infrastructure ya chama haiko tayari kumpa support yote. Paul Ryan (speaker) yuko baridi kabisa. Hata Laura wa Bush anaindicate angependa mtu mwingine hata kama ni Democrat. Mgawanyiko wa chama wa namna hii hauwezi kuleta ushindi.
Ili ashinde, anahitaji support kubwa ya makundi ambayo yanainukia na kuwa na wapiga kura wengi. Nimejifunza kwamba zaidi ya 80% ya Hispanics hawamtaki kabisa. Weusi, sisemi kitu hapo.
Ili ashinde, anahitaji support kubwa ya wanawake. Kwa matusi aliyomwaga hadi sasa, ingawa kwa ufinyu wa akili yake alidhani anamtukana mtu mmoja mmoja, Trump amejikuta amewatukana nusu ya wapiga kura - Wanawake. Alipomtukana mtangazaji juu ya siku zake za mwezi, alijivunjia heshima ha kujikosesha kura nyingi sana.
Miongoni mwa wasomi (hao ndio nimekuwa na mawasiliano nao sana), Bernie Sanders ndiyo chaguo lao la anti-establishment. Wengi naona wame-resign kwamba chaguo lao haliwezi kupita. Lakini kampeni zilizoanza miongoni mwao ni kwamba nchi isiingie kwenye mikono ya kitu kinaitwa Drumpf. Hiyo ina maana Hillary.
Usidanganyike na watu wanaopiga makelele kwenye vijiwe wakati hawasomi habari za dunia. Na kwa ushauri tu, usifuatilie siasa kiushabiki tu. Angalia hoja, angalia historia, angalia mambo kwa upana wake.
 
Hao lazima baadaye watakuja kumpongeza Na kumshukuru kwa kazi nzuri atakayo ifanya Trump
Na ikumbukwe kuwa Trump alisha sema huu ni wakati wa dunia kuongozwa kwa ukweli. sio kisiasa. kwamaana siasa siku zote ndio zinaleta
Matatizo.
Na hao wanao mlaumu Trump ndio wale walio athilika na siasa.
Lakini nadhani kwa kipindi cha Trump watajionea utofauti. Na watajifunza mengi.
Really? Umemfuatilia Trump na kuona kwamba ndiyo mkweli? Hivi toka lini umemfuatilia Trump? Umeanza kumsikia mwaka jana, I bet you. Kama ungemfuatilia toka siku nyingi zaidi ungegundua kwamba ni mshereheshaji tapeli, egomaniac, megalomaniac and a flip-flop of the highest order.
 
Umesema mm simjui Trump vizuri nimeanza kumfuatilia trump juzi tu.
Sawa hilo unaweza kuwa sahihi lakini swali linakuja je hao walio mchagua Trump kwenye Kura za maoni nao hawamjui Trump vizuri?
Na kama Trump ni mwizi inamaana hao waliokuwa wanamchagua Trump hawakuwaona watu wengine ambao sio wezi.
 
I have no idea what you are talking about. Unaweza kujifurahisha kwa matusi badala ya kujaribu kupata maarifa ya kweli. Nipo US sasa hivi. Nitakuwa hapa kwa kama mwezi hivi. Ninausoma upepo hapa. Trump hatashinda. That is my prediction kutokana na ninavyousoma upepo. Nikupe hoja moja-mbili.
Ili ashinde, Trump anahitaji support ya kiwango kikubwa cha Republican party. Ingawa ameshinda kwenye kinyang'anyiro hichi, bado unaona kwamba infrastructure ya chama haiko tayari kumpa support yote. Paul Ryan (speaker) yuko baridi kabisa. Hata Laura wa Bush anaindicate angependa mtu mwingine hata kama ni Democrat. Mgawanyiko wa chama wa namna hii hauwezi kuleta ushindi.
Ili ashinde, anahitaji support kubwa ya makundi ambayo yanainukia na kuwa na wapiga kura wengi. Nimejifunza kwamba zaidi ya 80% ya Hispanics hawamtaki kabisa. Weusi, sisemi kitu hapo.
Ili ashinde, anahitaji support kubwa ya wanawake. Kwa matusi aliyomwaga hadi sasa, ingawa kwa ufinyu wa akili yake alidhani anamtukana mtu mmoja mmoja, Trump amejikuta amewatukana nusu ya wapiga kura - Wanawake. Alipomtukana mtangazaji juu ya siku zake za mwezi, alijivunjia heshima ha kujikosesha kura nyingi sana.
Miongoni mwa wasomi (hao ndio nimekuwa na mawasiliano nao sana), Bernie Sanders ndiyo chaguo lao la anti-establishment. Wengi naona wame-resign kwamba chaguo lao haliwezi kupita. Lakini kampeni zilizoanza miongoni mwao ni kwamba nchi isiingie kwenye mikono ya kitu kinaitwa Drumpf. Hiyo ina maana Hillary.
Usidanganyike na watu wanaopiga makelele kwenye vijiwe wakati hawasomi habari za dunia. Na kwa ushauri tu, usifuatilie siasa kiushabiki tu. Angalia hoja, angalia historia, angalia mambo kwa upana wake.
Kwa ushindi wa Trump katika Kura za maoni ninaweza kusema amepiga hatua kwa 50% ktk safari yake.

Wewe ambae upo mareakani unaweza kutuambi ni kitu gani chenye nguvu kilicho mfikisha hapo.
 
Back
Top Bottom