Toni Braxton

zoezi la ufukuaji makaburi linaendelea tunaomba ushirikiano
wenu wakuu
Tuma picha humu tukuone....zile lips,hips na K yake si mchezo huwezi kumfikia hata kwa 10%
Muone huyu hapa kadai atume picture,hii ilikuwa 2009 huyu mleta mada kama kipindi kile alikuwa aged 25 sasa ivi atakuwa 33 na watoto kadhaa sasa zile sifa alizoziainisha pale juu leo atakuwa nazo kweli

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
hahah kazi kweli kweli
 
Write your reply...huu uzi ni wa mwaka 2009 I'd zlizokuwa zinachat humu moja ndo bado ina exist hata huyo mwanamke mwanamzk ameshadanja

sent by my TECNO AMBER RUTTY AG 7 using jamiiforums app
 
Huyu mwanammaa namuelewa sana kwakweli. Alifanya collabo na mtu mzima Trey Songz .Track inaitwa Yesterday...Dammmmmh..!! i love that jam.The way walivyokuwa "wanatambaa" na sauti zao kwenye ile track na chemistry yao ilikuwa LIT. dah.I love the lady truly I'm.

#Muungwana_John
 
Back
Top Bottom