Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,488
- 64,800
Ongeza ongeza mkuu900 itapendeza
Ahadi yako ni kiasi gani?Sawa
Hongera sana,endelea na moyo huohuoNimejaribu kutafakari kwa kina, kwa mwaka huu unavyoisha; nikagundua kuna majukumu makubwa yatanikuta huko mbeleni.
Majukumu yenyewe ni kwenye kulea, kusomesha, na kuhakikisha huo uzao wangu una maisha mazuri huko mbeleni.
Mbaya zaidi niliotengeneza nao familia, hawajui kupikia mkaa wala kuni; ni watu wa kusafisha kucha, kununua mawigi, kuangalia nguo zipi zipo kwenye fasheni n.k
Na mimi kilichonipelekea kutengeneza nao familia, ni kutokana na shepu na uzuri walionao.
Kwa mwaka huu tunaufunga wakiwepo warembo machachari watatu, ambao mwakani watatuletea wapiga kura.
Idadi ya vijana kuanzia equation x jnr 1 - n itaweza kufikia timu mbili za mpira.
Kwa kuwa sisi member wa jf sio wachoyo na nimeamua kuwawakilisha katika hii tasnia ya 'nendeni duniani mkazae na muongezeke' , nimeamua kuja na wazo la tone tone.
Ambalo litasomeka, tone tone na equation x; ambapo wote mtachangia kwa jfpesa, ili uzao wangu niupeleke huko ng'ambo kuelimika na uje kuwatawala.
Nakaribisha ahadi zenu.
Ahadi yako ni kiasi gani?
Unachangia ngapi mkuu?Hongera sana,endelea na moyo huohuo
Kati ya hizo ukitoa milioni 500 sio mbaya
Walimu huwa wanaigana igana,halafu hawazeeki haraka.Walimu mafanikio yao makubwa ni kushona sare za vitenge toka Congo
Hata bure hapana
Nasikia kalisham na magineziam ya chaki yanarudisha umri nyumaWalimu huwa wanaigana igana,halafu hawazeeki haraka.
Mazingira yao ya kazi hayana viyoyozi, muda mwingi ni kutembea kwa miguu, kunywa chai kavu, stress za kuandaa lesson plan kila siku; hapo hazeeki mtu.Nasikia kalisham na magineziam ya chaki yanarudisha umri nyuma
Ni kazi nzr ht yesu alikuwa mwalim napenda kusema ht ww utakufa kijana km yesu au nakosea?Mazingira yao ya kazi hayana viyoyozi, muda mwingi ni kutembea kwa miguu, kunywa chai kavu, stress za kuandaa lesson plan kila siku; hapo hazeeki mtu.
Beba msalaba wako mkuu, uwanaume siyo lelemamašNimejaribu kutafakari kwa kina, kwa mwaka huu unavyoisha; nikagundua kuna majukumu makubwa yatanikuta huko mbeleni.
Majukumu yenyewe ni kwenye kulea, kusomesha, na kuhakikisha huo uzao wangu una maisha mazuri huko mbeleni.
Mbaya zaidi niliotengeneza nao familia, hawajui kupikia mkaa wala kuni; ni watu wa kusafisha kucha, kununua mawigi, kuangalia nguo zipi zipo kwenye fasheni n.k
Na mimi kilichonipelekea kutengeneza nao familia, ni kutokana na shepu na uzuri walionao.
Kwa mwaka huu tunaufunga wakiwepo warembo machachari watatu, ambao mwakani watatuletea wapiga kura.
Idadi ya vijana kuanzia equation x jnr 1 - n itaweza kufikia timu mbili za mpira.
Kwa kuwa sisi member wa jf sio wachoyo na nimeamua kuwawakilisha katika hii tasnia ya 'nendeni duniani mkazae na muongezeke' , nimeamua kuja na wazo la tone tone.
Ambalo litasomeka, tone tone na equation x; ambapo wote mtachangia kwa jfpesa, ili uzao wangu niupeleke huko ng'ambo kuelimika na uje kuwatawala.
Nakaribisha ahadi zenu.
Ukitaka uishi miaka mingi na uwe na maisha ya kawaida ni kazi nzuri, kwa sababu inakufanya kila siku ushughulishe ubongo na mwili.Ni kazi nzr ht yesu alikuwa mwalim napenda kusema ht ww utakufa kijana km yesu au nakosea?
Msinichinjie baharini mkuu, toa chochote maisha yasogeeBeba msalaba wako mkuu, uwanaume siyo lelemamaš
Tuma lipa nambašMsinichinjie baharini mkuu, toa chochote maisha yasogee