Tokea nimeoa kina dada wananitaka

Tokea nimeoa kina dada wananitaka

Eiyar umeandka mawazo yakiprofessa....hyo ndio sir ya mwanamke.
 
"habari zenu wakuu,

hii kitu inanishangaza sana maana kabla sijaoa wadada walikuwa hawataki mazoea na mimi kabisa ila sasa tokea nioe tena ndoa yenyewe hata mwezi haujaisha kina dada wanaanza kujigonga wengine wameshaanza kunitumia text zisizoeleweka na mapenzi.

wengine wanajua kabisa kuwa nimeoa hivi karibuni. nikajaribu kuwatongoza ila cha ajabu hawajakataa!

hivi nyie kina dada huwa mnatupenda sana wanaume ambao tumeshaoa?au wanaume tulio kwenye ndoa tunawazidi nini wanaume wengine wasiokuwa kwenye ndoa mpaka mnajidhalilisha hivi?"

Na we ni mkali... Hata mwezi bado umepata guts za kutongooza tena sio mara moja? Maana kama hawajakataa umepiga kazi mkuu. Mkeo ana shida!!!

mkuu kutongoza mbona ni kitu cha kawaida. sometimes tukitongoza hatumaanishi huwa tunapima kima cha maji.
 
Ukioa unaacha kuwa 'boy' unakuwa 'man' ndo tunachotaka. Sura inabadilika unakuwa na confidence kwa kuwa umeshaweza kumpata mmoja wa ubakika. Hicho ndo kinapendwa. Mtu anaejua anachofanya sio fumbling.
 
hamna mkuu sio mtu wa aina hiyo kabisa! halafu hata hao wanawake niliowatokea hawajui kabisa.

Hawatabiliki hao.... Wala huwezi mtambua kwa haraka. Wamejaliwa kuona mambo kwa mapana (sio kwa marefu) na wanaweza kutunza siri sana
 
Back
Top Bottom