mutant gene
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 876
- 326
Habari zenu wakuu.
Hii kitu inanishangaza sana maana kabla sijaoa wadada walikuwa hawataki mazoea na mimi kabisa ila sasa tokea nioe tena ndoa yenyewe hata mwezi haujaisha kina dada wanaanza kujigonga wengine wameshaanza kunitumia text zisizoeleweka na mapenzi.
Wengine wanajua kabisa kuwa nimeoa hivi karibuni. nikajaribu kuwatongoza ila cha ajabu hawajakataa.
Hivi nyie kina dada huwa mnatupenda sana wanaume ambao tumeshaoa?au wanaume tulio kwenye ndoa tunawazidi nini wanaume wengine wasiokuwa kwenye ndoa mpaka mnajidhalilisha hivi?