Toka zako, usinichezee kabisa

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,305
Habari zenu Wakuu,

Huyu mwanamke nadhani anataka kunipanda kichwani sasa, nimemwambia naomba uniletee Laptop yangu amenijibu "Toka zako usinichezee akili kabisa".

Uvumilivu umenishinda Wakuu, huyu mwanamke leo anaenda kwao na hatorudi tena hapa kwang (NIMECHOKA).

Mwanamke gani ambae hasemi kinachomsumbua, yani yeye ni kunijibu hovyo tu na kosa langu silijui.
 
Huku ndiko aliko?
Mpaka hap kashajua weehumuwezi na ndio maana badala umwambie live umekuja kupunguzia stress huku
 
Back
Top Bottom