Toka umejiunga JF umewahi kupigwa ban mara ngapi?

Toka umejiunga JF umewahi kupigwa ban mara ngapi?

Mimi toka nimejiunga sijawahi kupigwa ban, je wewe?

Mbona naona umelambwa ban ya nguvu!

[h=1]fiter
user-offline.png

Banned[/h]

Kwema?
 
Ban ndo nini mie mgen jf nina wiki 3 tu hata kutuma post sijui na vitu natamani msaada kwa jf hata kuandika ujumbe kilamtu ausome sijaweza nsaidieni jaman
 
yaani natumia jf pekee..wakini ban wanaharibu kabisaaa
 
Nilishalambwa BAN ya MIEZI MINNE! hmmm! ilikuwa chungu sana hiyo!

baadae niliomba radhi kwa kukiri kosa, nikasamehewa ndani ya siku hiyo hiyo niliyolambwa ban!.. sikurudia tena kosa aisee!

nikasamehewa siku hiyo hiyo yakaisha!


aisee sitakaa nisahau hiyo siku!
 
Back
Top Bottom