Saoka
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 406
- 567
Habari zenu wakuu,
Moja kwa moja niende kwenye mada, nipo kwenye mahusiano na binti mmoja sasa ni mwezi wa 4 na pia kiumri ni kama tumelingana sasa kwa sasa nipo nje ya mkoa ambapo binti anaishi ila wakuu nikama simuelewi hivi yani nisipo mtafuta na yeye anitafuti kila mara lazima mimi ndie naanza kumtafuta yeye hapo ndipo tutakapo endelea kuwasiliana kwa amani na furaha tele kila muda tunaongea kama kujuliana hali etc,
Ikumbukwe pia nilivyokuwa karibu naye yani tulivyokuwa mkoa mmoja hakuwa natatizo lolote huku akiniahidi mengi japo pia kuwa anaonekana ni mtu wa misimamo nakupenda ufuate anachokiamini, huku pia kilaninapo msihi kuhusu "MZAGAMUANO" huwa anapinga vikali nakudai hadi nimuoe ni mtu wa Dini sana na mara nyingi kunisisitiza kuhusu ibada na mengineyo
Tatizo lipo kwenye mimi kuanza kumtafuta kila siku ndipo na yeye anitafute!!? na vipi suala lakunipa papuchi nikimgusia hataki kabisa,
Ushauri wenu wakuu tafadhalini nimpotezee au nifanyaje japo nampenda mno ila naumia
Ahsanteni.