Toka nipo mkoa mwingine hanitafuti mpaka nimtafute, nifanyeje?

Saoka

JF-Expert Member
Oct 23, 2018
405
565
Habari zenu wakuu,

Moja kwa moja niende kwenye mada, nipo kwenye mahusiano na binti mmoja sasa ni mwezi wa 4 na pia kiumri ni kama tumelingana sasa kwa sasa nipo nje ya mkoa ambapo binti anaishi ila wakuu nikama simuelewi hivi yani nisipo mtafuta na yeye anitafuti kila mara lazima mimi ndie naanza kumtafuta yeye hapo ndipo tutakapo endelea kuwasiliana kwa amani na furaha tele kila muda tunaongea kama kujuliana hali etc,

Ikumbukwe pia nilivyokuwa karibu naye yani tulivyokuwa mkoa mmoja hakuwa natatizo lolote huku akiniahidi mengi japo pia kuwa anaonekana ni mtu wa misimamo nakupenda ufuate anachokiamini, huku pia kilaninapo msihi kuhusu "MZAGAMUANO" huwa anapinga vikali nakudai hadi nimuoe ni mtu wa Dini sana na mara nyingi kunisisitiza kuhusu ibada na mengineyo

Tatizo lipo kwenye mimi kuanza kumtafuta kila siku ndipo na yeye anitafute!!? na vipi suala lakunipa papuchi nikimgusia hataki kabisa,

Ushauri wenu wakuu tafadhalini nimpotezee au nifanyaje japo nampenda mno ila naumia

Ahsanteni.
 
Kijana nikushauri tu, hapo hamna mtu.

Huyo kuna mwamba anamkula vizuri sana... na hana hisia na wewe.

Mbili, usiwekeze hisia wala mali/pesa hapo.

Mapenzi ni two way traffic wengine tunapigiwa simu saa 12 asubuhi, isipopokelewa zinafata SmS za kujuliwa hali na kuombewa kadua kafupi.

Pole sana.
 
Habari zenu wakuu,

Moja kwa moja niende kwenye mada, nipo kwenye mahusiano na binti mmoja sasa ni mwezi wa 4 na pia kiumri ni kama tumelingana sasa kwa sasa nipo nje ya mkoa ambapo binti anaishi ila wakuu nikama simuelewi hivi yani nisipo mtafuta na yeye anitafuti kila mara lazima mimi ndie naanza kumtafuta yeye hapo ndipo tutakapo endelea kuwasiliana kwa amani na furaha tele kila muda tunaongea kama kujuliana hali etc,

Ikumbukwe pia nilivyokuwa karibu naye yani tulivyokuwa mkoa mmoja hakuwa natatizo lolote huku akiniahidi mengi japo pia kuwa anaonekana ni mtu wa misimamo nakupenda ufuate anachokiamini, huku pia kilaninapo msihi kuhusu "MZAGAMUANO" huwa anapinga vikali nakudai hadi nimuoe ni mtu wa Dini sana na mara nyingi kunisisitiza kuhusu ibada na mengineyo

Tatizo lipo kwenye mimi kuanza kumtafuta kila siku ndipo na yeye anitafute!!? na vipi suala lakunipa papuchi nikimgusia hataki kabisa,

Ushauri wenu wakuu tafadhalini nimpotezee au nifanyaje japo nampenda mno ila naumia

Ahsanteni.
yaani hana bikra halafu hadi umuoe (sio muoane tengua kauli), mambo ni "shake well before use" halafu kingine ishi kwa kufuata kanuni na taratibu zako binafsi ulizojiweka.
 
Suala hili halikuihitaji kufikia mpaka kuandika hapa yaani mpaka sasa ilibidi ue ushamuacha huyo mwanamke.

Kutafuta/kutokutafutwa haya ni mambo ya KIHISIA, kama hakutafuti mpaka umtafute maanayake HANA HISIA NA WEWE na Hisia hailazimishwi inabidi awenayo mtu automatically.

JIBU: Usimtafute tena njia pekee ya mahusiano kueendelea ni yeye kukutafuta wewe na si wewe tena, hata akikutafuta usimtafute yaani inabidi igeuke yeye tu ndio akutafute wewe Hapo ndio ufikirie tena kuendeleza mahusiano mbali na hapo piga kimya mazima.
 
Naunga mkono hoja hapo paragraph ya mwisho, na tafsiri yake ni kuwa nimekiri kosa, sirudii na niko tayari kuanza upya.
 
Sure, Ujinga sana kitu Cha msingi kuto kurudia ujinga, binafsi mimi mwanamke hata nimpende vipi, tumeweka malengo vipi akifika stage hio mahusiano hayaendi mpaka mimi tu ndio nimtafute NEVER hayo mahusiano yafe.
 
Suala hili halikuihitaji kufikia mpaka kuandika hapa yaani mpaka sasa ilibidi ue ushamuacha huyo mwanamke.

Kutafuta/kutokutafutwa haya ni mambo ya KIHISIA, kama hakutafuti mpaka umtafute maanayake HANA HISIA NA WEWE na Hisia hailazimishwi inabidi awenayo mtu automatically.

JIBU: Usimtafute tena njia pekee ya mahusiano kueendelea ni yeye kukutafuta wewe na si wewe tena, hata akikutafuta usimtafute yaani inabidi igeuke yeye tu ndio akutafute wewe Hapo ndio ufikirie tena kuendeleza mahusiano mbali na hapo piga kimya mazima.
Shukrani boss
 
Back
Top Bottom