Toka Mwanza hadi Dar kwa miguu kisa

Salahan

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
2,963
3,675
12745754_1186253254725912_8396014005400798616_n.jpg

Huyu ni kijana Joseph Stanford aliyetembea kutoka Mwanza mpaka Dar es Salaam kumpongeza Rais Magufuli.
 
Nibora huyo alie kwenda kuonyesha kumuunga mkono rais kwa kufanya mazuri yanayo muhusu yeye
Kuliko wale vichaa walio mpigia deki lami mwizi alie wafanya wasiwe na hata sakafu nyumbani kwao ili waipige deki
 
Dah huyu jamaa anamoyo sana... Ku'drive kwenyewe tu hua nawaza sana.. Yaani mguu Mosi mguu pili Nyegezi, Mara buhongwa, kidogo tu mzani-usagara umeikata, hujakaa sawa Misungwi hii hapa... Huyooo Mdogo Mdogo kolandoto mpaka shy town.. Hapo tu hoi... Inabidi uvute bangi kidogo ili ufikie uamuzi wa huyu dogo.
 
Ukiwa na imani na nafsi kuridhia jambo jepesi
umewai fuatilia wanao vuka mipaka ya nchi kukimbia kitu
tena wanapita poli kwa poli huku wakiwa na mizigo
 
Hahaha anadhani magufuri ni kama mkwere. Aonyeshe ushahidi wa video kama kweli alitembea kutoka mwanza. Amepanda lift kibao huko anakuja kudanganya watanzania kuwa ametembea. Ptuuuuh
 
Daaaaah hivi pale sekenke huwa kunaminyani haiogopi hata basi sasa huyu jamaa taifa stars sijui alikuwa na mawe kilo ngapi...???
 
wasukuma kutembea mwendo mrefu ni nawaida nakumbuka 2010 kuna ngosha alitoka mwanza Kwa baiskeli mpaka dar kuja kumpongeza Jk kuchaguliwa tena
 
Back
Top Bottom