Toka mtandaoni

Hata bongo ni hivyo hivyo tu ..serikali lini imewaangalia wananchi wa kipato cha chini ..

Halafu mimi nilikuwa nazungumzia hali ya umoja waliyo nayo wananchi achana na hizo habari za serikali za africa .... ina fahamika na iko wazi kwamba serikali zote za Africa huwa zinawageuza wananchi wake kuwa chuma ulete /ng'ombe wa maziwa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio wanafki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bongo tunapolice wenye moyo wa aina hiyo?
 
So touchy na inaelimisha, kwa Tanzania ya leo chuki iliyopo kati ya serikali na opposition parties na chuki kati ya polisi na raia hicho kilichotokea huko Kenya hakiwezekani.
 
Mshana hii Mada Ina mafunzo muhimu. Lakini, sidhani kama wa Tanzania watayaona. Fikiria, mtu anamiminiwa risasi 30,watu wanajawa na simanzi na kuandaa ibada ya kumuombea, waziri anayeongoza jeshi la polisi anazuia maombi hayo kufanyika. Naamini maombi hayo yangeambatana na kuchanga fedha ya matibabu. Kwanini? Kwa sababu aliyeumizwa si mwenzetu, yeye ni chadema, si ccm.
Tumepofushwa mno na siasa za majitaka kiasi kwamba hata uwezo wetu wa kuona logic umeisha. Kila kitu Sasa kinatafasiriwa kisiasa. Kwa hatua tuliyofikia, hakuna jinsi tunaweza kurudisha upendo tena mpaka tuuane kwanza kama wakenya walivyofanya, ndipo tutaiona thamani ya kupendana.
Ni bahati mbaya kwetu kwa Sasa uongozi uliopo ndio unachochea migawanyiko ya kisiasa. Ona, baada ya kupata ajali, aliyezuia watu wasimwombee aliyepigwa risasi a naomba watanzania wamwombee! Ona mijadala ya humu ilivyojaa migawanyiko. Ukisoma comment ya mtu, unajua yuko upande gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kisa kimenipa kitu na kuniongezea ujazo flani ktk kuingia na kutoka.kwangu..

ubarikiwe sana mzee mshana...

i like you mzee wa busara..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
siasa za hapa kwetu bi uadui..

..Inaumiza mnoo

hatujali utu tena,
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Umeandika vyema mwenyekiti na kuwasilisha mawazo yako vilivyo. Ubarikiwe.
 
Nimepata kitu cha kujifunza hapa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…