Umesoma sheria mpya ya mawasiliano mtandaoni (CYBER LAW), anza kujiandaa kisaikolojia kwenye issue kama hizi...
Ishu ni mademu hana lolote..
Wacha tu.Ngarna omba yasikukute
There Must Be Other Reason Behind This Incidence.How Can You Kill Yourself Because Of Such Simple Reason?!!.
He Could Quit The Job And Find Another Somewhere Else.He Was Educated But Very Desperate.So Sad!
kama alikuwa na ujasiri wa kujiua yeye mwenyewe, hao waliokuwa wanamnyanyasa wajifunze kitu kwamba alikuwa ana uwezo wa kuwaanza wao kwanza kabla hajajimaliza yeye, hivo siku nyingine wakimwona kijana na sura ya upole kama huyo wasimuunder estimate, wajue wakimnyanyasa anaweza kufanya lolote na hata kwa kuanza na wao pasipo hata kujua na mwisho kujimaliza.
mbona ilo tundu ni kubwa kana kwamba risasi ndo ilitokea apo au alijipiga paipu kwa nyuma