Toka Marangu Moshi

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
280,682
729,848
Mbuzi azaa kiumbe mtu kiumbe mbuzi
eacc8ec3310155cf8e7a8f7872dcf773.jpg
 
Looks like demon
ngurue aliezaliwa na vichwa viwili, na bado katoto. Kinachosemekana ni kwamba utumiaji wa madawa na mbolea za kemikali, na kubadilishwa kwa mbegu za mazao kumudu magonjwa ya mimea, kuongeza uzalishaji yani-GMO...........yoooote haya na mengineyo ndio yamesababisha ongezeko kubwa la viumbe kuzaliwa kiajabu ajabu. kazi kwelikweli.
 
Inatisha sana
 
Cheki kitoto hiki cha nguruwe pia kina sehemu mbili za uzazi (me na ke)

Back
Top Bottom