Toka lini wapinzani kupongeza mwana CCM??

Mpaka kufika 202O Tanzania itakuwa ni Nchi inayoongoza Duniani kwa vituko.
 
Hiyo sera ya kusomesha watoto bure kwa UKAWA ilikuwa maneno2 ndo maana hata hawakuweza kuifafanua hata kidogo, Kama mkutano mkuu wa CHADEMA 2015 tena ukiwa LIve ITV Mbowe alisema wamechukua Lowasa na wenzake ili waje wawasaidie kuongoza serikali kwani hawana wanauzoefu wa kuongoza, kauli kama hizo zilitosha kutambua kwamba uwezo wao ulikuwa umekomea hapo na ni vema wakapatikana viongozi wengine na si rahisi kupewa nchi mtu ambaye anakiri mwenyewe kwamba hana uzoefu wa kutosha. Sasa nashangaa unaposema eti upinzani ndo silaha pekee! bado muda wao haujafika waendelee kuchukua wazoefu kutoka CCM ili wapate team nzuri ya kuongoza serikali.
Siongelei ushabiki hapa, fear of unknown, they started u copied, mambo ya mbowe, sijui hawajawa tayari unafikili wanaishi nchi nyingine not tz mpaka wasiwe tayari au urais nao uhitaji vyeti. We know them they have failed 4year, nchi INA watu wanajituma mashabani, tunaamka usiku kwenda kazini halafu bado tupo kwenye kundi LA nchi masikini sana duniani. You wokeup 4am in a line voting 4ccm are u clazy. Just mnaleta ji2 who who manually silence voice of the people. Eti wanamkwamisha how traditional shit. Tz first vyama huku ukweli daima unafiki mwiko TANU.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom