Toka lini wapinzani kupongeza mwana CCM??

Wapendwa nimeshangazwa na wapinzani wetu eti wanamuunga mkono kada wa CCM hizo si sanifu kweli??
Miaka yote walikuwa wanamponda halafu leo eti wanamwonea huruma na kumpongeza.
Binafsi si ungi mkono hayo mahuruma yao.
Kwani Nape alikuwa anasimamia jambo la Chama au Taifa?? Kwenye uzalendo lazima mtu apongezwe haijalishi yuko chama gani
 
Kivipi? Sera zinapenyea wapi mmezuia mikutano ya live? Mwambie bashite amwambie Msukuma mwenzake aruhusu mikutano ya wazi usikie sera digital lazima uhame ccm siku hiyo ingawa ww ni mshenga wa harusi ya wasukuma wawili wanaotawala nchi kwa sasa.
Ww zombie wa mwisho ule mkutano alofanya mbowe kafanya lema ni nn ule au funza ule? Acha ujinga ndugu mikutano mnafanya lkn mtaongea nn?msioongea makonda mtaongea nn? Msipomuongelea nape mtaongea nn? Mmeishiwa sera pale mlipompokea lowasa tu chadema sera yao kubwa ilkuwa ufisad cku hz watausemea wapi? Wakat wanae wenyewe? Pole ndugu mpo kimatukio ndomana hata mitandao yenu imetawala matukio hakuna mtu anayeandka sera na kuhimiza maendeleo chadema sio mbunge wala diwani wao wapo kwenye media kitokee hk wapate kuonekana fanyen sera za kimaendeleo sio kula nyama na bia kisha porojo nyingi....mwaka huu mlompata lazma awabatze kwa moto....yule sio yule mlomwita mdhaifu kisa anawaonea huruma tu wengne mpo kwenu uko arusha kilimanjaro moshi mnaongea upuuuz.....Mtakoma kwa jemedari magufuli...mlie mcheke mnye mlale muamke ....kasimama hatishwi uyo Tundu ataisoma number
 
Siku hizi hawana kazi za kufanya, ni kama wote wamerudi CCM, ukiona mpinzani anatetea waziri wa serikali CCM asitumbuliwe, ujue kwamba JPM anafanya kazi na aendelee kuchapa kazi, hao ndo wakati wa JK kazi yao kubwa ilikuwa ni kutaka mawaziri wajiuzuru-leo tena eti JPM kafanya kosa, utadhani wakati anawateua aliomba ushauri kutoka kwao. wamwite Nape wamfariji kwani imeonekana wao ni hodari sana wa kufariji watokao CCM kwa ubaya.
Wewe nae...nenda kachune mabuzi huna jipya
 
Kama upizani ulivyopiga ufisadi huku ccm mkichekelea Kwa kejeli Na misemo yenu eti mkipewa nyie. Upizani ni wazaledo Wa kweli siyo chama unafiki tupu. Upizani ndiyo silaha pekee walisema 2010 watasomesha wanafunzi Bure mpka kidato cha4 mkapiga haiwezekani. Siyo uovu Wa nape umefuti labda ufutwe Na tendo LA haki LA sasa alilochukua.
 
Ww zombie wa mwisho ule mkutano alofanya mbowe kafanya lema ni nn ule au funza ule? Acha ujinga ndugu mikutano mnafanya lkn mtaongea nn?msioongea makonda mtaongea nn? Msipomuongelea nape mtaongea nn? Mmeishiwa sera pale mlipompokea lowasa tu chadema sera yao kubwa ilkuwa ufisad cku hz watausemea wapi? Wakat wanae wenyewe? Pole ndugu mpo kimatukio ndomana hata mitandao yenu imetawala matukio hakuna mtu anayeandka sera na kuhimiza maendeleo chadema sio mbunge wala diwani wao wapo kwenye media kitokee hk wapate kuonekana fanyen sera za kimaendeleo sio kula nyama na bia kisha porojo nyingi....mwaka huu mlompata lazma awabatze kwa moto....yule sio yule mlomwita mdhaifu kisa anawaonea huruma tu wengne mpo kwenu uko arusha kilimanjaro moshi mnaongea upuuuz.....Mtakoma kwa jemedari magufuli...mlie mcheke mnye mlale muamke ....kasimama hatishwi uyo Tundu ataisoma number
Wewe ndiyo zuzu la mwisho kuwa house boy kwa Daudi bashite na ww eti unajidai kuja na mifano ya kijinga jinga kama boss wako aliyefunga ndoa na Msukuma mwenzako, Sera zipo nyingi na za maendeleo lakini mnaminya demokrasia hakuna mikutano sera zitolewe wapi? au waje kwa mke wako kuzimwaga,? Safari hii chadema watamtia mimba mke wa boss wako Daudi maana kashindwa kumzalisha mkewe ndiyo maana kaamua yy afanye haramu adumu kuwa RC Dsm , chadema haihitaji huruma chuki za wananchi ndizo zinawasukuma mjitambue, najua Akili yako ni finyu kuyajua haya ni ngumu mpaka uolewe kama boss wako, mwaka huu 2017 lazima ccm mkorogane sana na huenda kukawa na makundi mengi.
 
Wanataka ajiunge nao.

Kwa sababu hawana maarifa yoyote, wote waluojiunga nao hakuna wanalowasaidia hata kimawazo na kiupinzani.

Hivyo wanajaribu labda wengine wataweza, pia labda yule atamfuata wema.
 
Wewe ndiyo zuzu la mwisho kuwa house boy kwa Daudi bashite na ww eti unajidai kuja na mifano ya kijinga jinga kama boss wako aliyefunga ndoa na Msukuma mwenzako, Sera zipo nyingi na za maendeleo lakini mnaminya demokrasia hakuna mikutano sera zitolewe wapi? au waje kwa mke wako kuzimwaga,? Safari hii chadema watamtia mimba mke wa boss wako Daudi maana kashindwa kumzalisha mkewe ndiyo maana kaamua yy afanye haramu adumu kuwa RC Dsm , chadema haihitaji huruma chuki za wananchi ndizo zinawasukuma mjitambue, najua Akili yako ni finyu kuyajua haya ni ngumu mpaka uolewe kama boss wako, mwaka huu 2017 lazima ccm mkorogane sana na huenda kukawa na makundi mengi.
Pole sana miss punju ndomana nkakwambia nyie sera yenu ni bashite na nape hamna jengnr ndomana hata katika maongez yenu n hayo tu...wabunge wenu toka waliposhinda majimbo hawana wanalofanya wengne wamekmbia kabsa wapo dar wanakula bia....kufanya maendeleo haihusiani na mikutano kufanya maendeleo unaenda jmbon kwako na kuplan kla ktu na wananchi wako kwa vitendo...hyo mikutano anayofanya mbowe nlkulza inaitwaje ni funza wale au?tatz mikutano mnaitumia kusema watu kulko kufanya ya maana pole sana..utaishia matusi lkn majmbon hamna ktu nyie n viongoz wa media na mitandao mpo kama fisi mkisikia harufu ya damu mwafata mkiona mifupa mate yawatoka poleni sana tena poleni sana...wakat mnapoteza muda bashite cjui nan...wenzenu wanafanya yao....zaid nashndwa kuendelea maana hata haya majb yako naona kabsa ww n nyumbu wa mwisho ulimwenguni....sio ww tu had wenzio.....
 
Haaaa haaaa

Haaaaaaa haaaaaa wewee mbona unafikisha ujumbe mapema??
Mikutano ikiruhusiwa magufuli atakunywa sumu maana madhambi yake yataanikwa live itakuwa Aibu mfano jana kaenda bandarini kukamata kontena za zamani akitaka amfunike Nape wangeelezea kila kitu ingekuwa Aibu yapo mengi mabaya ambayo bila mikutano ya wazi inakuwa vigumu kuwaelezea vizuri wananchi.
 
Wapendwa nimeshangazwa na wapinzani wetu eti wanamuunga mkono kada wa CCM hizo si sanifu kweli??
Miaka yote walikuwa wanamponda halafu leo eti wanamwonea huruma na kumpongeza.
Binafsi si ungi mkono hayo mahuruma yao.
Siasa sio vita chiz ww, unafkr binadam wote wanaroho mbaya km ulivo ww na baba daud
 
Kwa upande wangu ninachowapongeza ccm wananikumbusha TLP ya Mrema hakuna mwenye sharubu zaidi ya mwenyekiti hufai timua mpaka chama kife
 
Pole sana miss punju ndomana nkakwambia nyie sera yenu ni bashite na nape hamna jengnr ndomana hata katika maongez yenu n hayo tu...wabunge wenu toka waliposhinda majimbo hawana wanalofanya wengne wamekmbia kabsa wapo dar wanakula bia....kufanya maendeleo haihusiani na mikutano kufanya maendeleo unaenda jmbon kwako na kuplan kla ktu na wananchi wako kwa vitendo...hyo mikutano anayofanya mbowe nlkulza inaitwaje ni funza wale au?tatz mikutano mnaitumia kusema watu kulko kufanya ya maana pole sana..utaishia matusi lkn majmbon hamna ktu nyie n viongoz wa media na mitandao mpo kama fisi mkisikia harufu ya damu mwafata mkiona mifupa mate yawatoka poleni sana tena poleni sana...wakat mnapoteza muda bashite cjui nan...wenzenu wanafanya yao....zaid nashndwa kuendelea maana hata haya majb yako naona kabsa ww n nyumbu wa mwisho ulimwenguni....sio ww tu had wenzio.....
Rudi shule kwanza kajifunze Kiswahili maana na ww inaelekea huna vyeti hata kuandika tu unashindwa hata Kichwani utakuwa na kitu? wewe ni mshamba kwani hujui kazi ya wapinzani ni kuikosoa serikali? ulitaka boss wako bashite afoji vyeti wapinzani wakae Kiimya? Mifano yako ni ya kifala fala ww utakuwa umetoka koromije jana maana naumiza vidole kukujibu kijitu kishamba na kijinga jinga, Nyumbu ni ccm ambao tokea mwaka 1961 mpo madarakani mmekariri zidumu fikra za Mwenyekiti hata kama ni za ndoa ya jinsia moja kama hii ya sasa ya wasukuma wawili, nenda kawalishe kuku bandani boss wako Daudi atakufukuza kazi huwezi kumtetea JF bado unamtetea kifala, safari hii lazima magufuli aonje uchungu wa kuchukiwa na wananchi ndupo ajitambue.
 
Kama upizani ulivyopiga ufisadi huku ccm mkichekelea Kwa kejeli Na misemo yenu eti mkipewa nyie. Upizani ni wazaledo Wa kweli siyo chama unafiki tupu. Upizani ndiyo silaha pekee walisema 2010 watasomesha wanafunzi Bure mpka kidato cha4 mkapiga haiwezekani. Siyo uovu Wa nape umefuti labda ufutwe Na tendo LA haki LA sasa alilochukua.
Hiyo sera ya kusomesha watoto bure kwa UKAWA ilikuwa maneno2 ndo maana hata hawakuweza kuifafanua hata kidogo, Kama mkutano mkuu wa CHADEMA 2015 tena ukiwa LIve ITV Mbowe alisema wamechukua Lowasa na wenzake ili waje wawasaidie kuongoza serikali kwani hawana wanauzoefu wa kuongoza, kauli kama hizo zilitosha kutambua kwamba uwezo wao ulikuwa umekomea hapo na ni vema wakapatikana viongozi wengine na si rahisi kupewa nchi mtu ambaye anakiri mwenyewe kwamba hana uzoefu wa kutosha. Sasa nashangaa unaposema eti upinzani ndo silaha pekee! bado muda wao haujafika waendelee kuchukua wazoefu kutoka CCM ili wapate team nzuri ya kuongoza serikali.
 
Ndoa haramu ya wasukuma wawili imekuwa sumu ya maendeleo pesa nyingi inatumika kumtetea Msukuma aliyeolewa ambaye sasa amekuwa kinara wa kupeleka majungu na msukuma mkuu anatumbua jipu kwa kukurupuka pasipo kutafakari kwanza, hiyo ndio haramu imezua gumzo na tafakari mbalimbali nchini kote, sasa serikali ni ya watu wawili tu yaani wasukuma wawili, mpeleka uzushi fitna na kuwabambikia watu kesi na Mpokea majungu na kukurupuka na maamuzi ya ajabu, wananchi amkeni mdai uhuru wakoloni wawili wanaipeleka Nchi chooni shimoni.
 
Back
Top Bottom