Toka lini wapinzani kupongeza mwana CCM??

Wapendwa nimeshangazwa na wapinzani wetu eti wanamuunga mkono kada wa CCM hizo si sanifu kweli??
Miaka yote walikuwa wanamponda halafu leo eti wanamwonea huruma na kumpongeza.
Binafsi si ungi mkono hayo mahuruma yao.
Ni mjinga pekee anaye amin kuwa upinzani ji uadui, na unatakiwa kutambua kwamba mtu hapingwi kuwa mwana CCM au mwna CHADEMA au CUF ,NCCR ,ACT NK bali yale ayatendayo akiwa Ccm au chadema , CUF, NCCR nk ndiyo yanayo pingwa ,hivyo jema lita sifiwa na baya pia lita kemewa kwa zote
 
Wapendwa nimeshangazwa na wapinzani wetu eti wanamuunga mkono kada wa CCM hizo si sanifu kweli??
Miaka yote walikuwa wanamponda halafu leo eti wanamwonea huruma na kumpongeza.
Binafsi si ungi mkono hayo mahuruma yao.
kwa taarifa yako wapinzani wa Jamhuri hii ndio viumbe wanaongoza kwa unafki duniani!
 
mambo ya kitaifa hayana uchama huyu kafukuzwa kwa kusimamia ukweli kwenye jambo la kitaifa (sio la kiCCM) kuhusu uhuru wa vyombo vya habari....... ssa upinzani tukijifanya kumponda afu kesho tukavamiwa sisi kwenye ofisi zetu za chama itakuwaje????
Mkivamiwa si mtaenda mahakamani??
Au mnamwita waziri tena au??
 
Wapendwa nimeshangazwa na wapinzani wetu eti wanamuunga mkono kada wa CCM hizo si sanifu kweli??
Miaka yote walikuwa wanamponda halafu leo eti wanamwonea huruma na kumpongeza.
Binafsi si ungi mkono hayo mahuruma yao.
Siku hizi hawana kazi za kufanya, ni kama wote wamerudi CCM, ukiona mpinzani anatetea waziri wa serikali CCM asitumbuliwe, ujue kwamba JPM anafanya kazi na aendelee kuchapa kazi, hao ndo wakati wa JK kazi yao kubwa ilikuwa ni kutaka mawaziri wajiuzuru-leo tena eti JPM kafanya kosa, utadhani wakati anawateua aliomba ushauri kutoka kwao. wamwite Nape wamfariji kwani imeonekana wao ni hodari sana wa kufariji watokao CCM kwa ubaya.
 
Hamna kitu. semeni ukweli kunamainshu yenu mliyokuwa mumnataka kumchongea mtu flani ila yamebumaaa. kuweni wawazii tuuuu
 
mambo ya kitaifa hayana uchama huyu kafukuzwa kwa kusimamia ukweli kwenye jambo la kitaifa (sio la kiCCM) kuhusu uhuru wa vyombo vya habari....... ssa upinzani tukijifanya kumponda afu kesho tukavamiwa sisi kwenye ofisi zetu za chama itakuwaje????
Kwani alikuwa lazima awe waziri?
 
Nape ndo alinyanyua kikatio pale dom na kukishusha kwa nguvu zote kumkata yule jamaa, ile team kwa hasira ilihamia upande wa pili ilacha kushangaza leo wamesahau yote, Nape nakushauri nenda huko huko kawavuruge zaidi mpaka 2021 akili itakuwa kidogo imewarudi.
 
No no no upinzani sio uadui..ndio maana siku hizi huoni watu mpira ukiisha wanapigana....dkk 90 zikiisha wanashikana mikono....be brave
 
Upuuzi tu. Inawezekana Baba ako akiwa Simba wewe Yanga hutamsalimia ci ndio ndo ninyi mnaotuangusha Taifa star unabaki Usimba na Uyanga Akili za kuambiwa changanya na zako Pole mtoa Mada
 
Nape sio wa kwanza hata deo filikunjombe alipendwa na upinzani
hata esta bulaya alipendwa tangu yupo ccm
 
acha ubwege wewe lazima ujue hata hao wapinzani nao ni wanadamu, sometime huwa tunaangalia utu na huruma kama mwanadamu mwenzako, uwe unajiongeza kidogo usiwe bwege kiasi hicho.
 
Mkivamiwa si mtaenda mahakamani??
Au mnamwita waziri tena au??
Hayo ya kwenda mahakamani au kutokwenda yanakuja baada ya damage kufanyika?? ssa kma tume inaundwa na munzisha tume katumbuliwa je niambie jaji gani ana ubavu wa kuenda kinyume na matakwa ya aliemteua??

mwangosi aliuawa na askari kwenye mkutano wetu so tunajua umuhim wa uhuru wa habari so ikitokea mtu yeyote anapambana kuhakikisha uhuru wa habari unatamalaki Tanzania tutamuunga mkono iwe ccm act wasio na chama n.k

ifike wakati mambo yenye tija tuweke utaifa mbele maana jana clouds kesho jamiiforums!!! ssa mkija kushtuka itakuwa too late
 
Kwani alikuwa lazima awe waziri?
mkuu sisi hatuna shida na nape kuwa waziri au asiwe waziri shida yetu ni sababu ya kwanni atolewe wakati alikuwa anajaribu kufanya kazi yake na ukiangali ni tume ndo ilichunguza na ikatoa ripoti ssa ndio tuseme ripoti imefia hewani?? then wananchi mnashabikia tu?? mnsahau kuwa walianza kwa kina lisu wakahamia kwa kina serukamba na nape next amesema vyombo vya habari ssa siku yakikukuta ndio akili itakurudi!!!

hata nape kipindi kina lisu wanasema akimalizana na wapinzani atahamia kwa wanaccm na wanahabari then wafanyabiashara etc walimuona mjinga ila kwa mambo yalivyo ssa ni bora n wwe uchukue upande mapema usije na wwe lialia huko mbele yakikukuta
 
Tatizo la vijana wa JF hatujishughulishi kujua taratibu za nchi. Tume ya Nape ilikuwa ya kisanii waziri hawezi kumchunguza RC bila kumhusisha mwajiri wake pia hakuihusisha ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali ambayo ilikuwa mandatory. Nape ameingizwa mkenge na wauza madawa na atajuta sana.
 
mambo ya kitaifa hayana uchama huyu kafukuzwa kwa kusimamia ukweli kwenye jambo la kitaifa (sio la kiCCM) kuhusu uhuru wa vyombo vya habari....... ssa upinzani tukijifanya kumponda afu kesho tukavamiwa sisi kwenye ofisi zetu za chama itakuwaje????

Una kichaa wewe! Uhuru wa habar??i kwani ni nani aliyepeleka bungeni sheria ya huduma za vyombo vya habari...na mkabaki kulialia tuu msifanye lolote..
 
Back
Top Bottom