Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

Ndugu wana JamiiForums,

Nchi yetu imetafunwa mno na ni wakati sasa tuseme imetosha. Tumsaidie Rais Magufuli na Serikali yake kuweza kuzifahamu kero zetu za yanayotusumbua kama Watanzania ambayo tungependa yafanyiwe kazi.

Karibuni sana.

MWONGOZO: Elezea jipu/kero yako na kama ina ufafanuzi wa kutosha (nani, wapi, lini, kivipi n.k) ukiambatana na nyaraka itapendeza zaidi.

Kero hizi zitachapwa na kupelekwa kwa mamlaka husika ili zifanyiwe ufuatiliaji.
Hii ni kero kubwa kwa wananchi wa Kijiji cha Ogutu, Ndovu, Naberera, imanjiro.

View: https://www.youtube.com/watch?v=ZToGkFXN4yk&t=53s
 
Ndugu wana JamiiForums,

Nchi yetu imetafunwa mno na ni wakati sasa tuseme imetosha. Tumsaidie Rais Magufuli na Serikali yake kuweza kuzifahamu kero zetu za yanayotusumbua kama Watanzania ambayo tungependa yafanyiwe kazi.

Karibuni sana.

MWONGOZO: Elezea jipu/kero yako na kama ina ufafanuzi wa kutosha (nani, wapi, lini, kivipi n.k) ukiambatana na nyaraka itapendeza zaidi.

Kero hizi zitachapwa na kupelekwa kwa mamlaka husika ili zifanyiwe ufuatiliaji.

Unapigia mbuzi gitaa
 
KERO NI NYINGI MNO KWA LEO NAANZA NA VETA HAKUNA UBISHI KWAMBA VETA ILIANZISHWA ILI KUWAKWAMUA VIJANA WETU AMBAO NDIYO NGUVU YA TAIFA LAKINI PAMOJA NA KASORO NYINGI ZISIZO AKISI MALENGO NA MATARAJIO YA UANZISHWAJI WAKE KUNA TATIZO LA KUCHELEWESHA VYETI VYA KUFUZU MAFUNZO HAYO JAMBO HILI WAHUSIKA WALIOKASMIWA MADALAKA HAWAONI KAMA LINA SABABISHA SHIDA KWA WAHITIMU AMBAO WALIONA KAMA VETA NI MKOMBOZI WAO BAADA YA KUKOSA FURSA KATIKA VYUO NA SHULE NYINGINE.
VYETI HAVIPATIKANI KWA WAKATI NA KUSABABISHA KUKOSA FURSA MBALIMBALI. HIVI KATIKA ZAMA HIZI ZA TECHNOLOJIA KUNA UGUMU GANI KUTOA VYETI KWA WAKATI??
 
Back
Top Bottom