Toka kwa mkongwe mfundaji

Yani nifanye hayo hayo yote ili mwanamke mwenzangu akainjoi vzr sio? no way asee...., eti nimnyoe kabsa sehemu za siri, kwanin nimuandalie mazingira kiasi hicho? Wanaume wa zaman sawa, lakin hawa wa mwendo kasi hawanaga safari za ukweli, safar walizonazo labda safar lager tu, tena anakwambia yuko mbeya kumbe yupo lodge mtaa wa tatu toka kwenu....ajiandae mwenyewe hakuna namna
Na hapo ukute Safari yenyewe ya uongo tu waiiiiiii
 
MIMI SIO MFUNDAJI ILA NAKULETEA TOKA KWA MFUNDAJI NGULI NIKIAMINI VIMWANA WA JF WATANUFAIKA NA CHOCHOTE.

VP UTAMTAYARISHA MUME ANAPOSAFIRI??

MUME ANASAFISHWA KABLA YA SAFARI.
Hakikisha mume anasafiri hana kucha. Nywele sehem za siri.
Ndevu kaeka sawa.
Unamsinga awe hana nongo.

AFU TAYAARISHA BAG MAALUM LA KUSAFIRIA.
Ndani yke utaeka nguo zilizopigwa pass vizur na kuekwa na manukato km udi au aluud au perfume.ktk nguo unaeka za kazin na za nyumban na za kulalia afu
Utaeka na msuaki mpya, dawa ya msuaki, sabuni ya kuogea, perfume, mafta ya nywele, lotion, kitana.

UTANDAA CHAKULA KIZUR AMBACHO ANA KIPENDA ZAID MCHANA NA UCKU.
We mwenyeo ndo unaemjulia mumeo nin anapendelea kula wkt akiwa furaha na ww.
Pia mchana utakapomaliza kupika chakula tengeneza salad ktk sahani ambayo utaipamba vegetables vzr yenye heruf yke mfano tumia figili vitango tungule karot au pamba fruit kuonesha tofaut
Chakula cha ucku pia mpike mahanjumati km anapenda wali nazi wa samaki au chochote kile

UTABADILISHA DESIGN YA KITANDA YAAN UTAWEKA TOFAUT NA CKU ZOTE.
muekee shuka jipya juu ya kitanda, afu utaweka design ya mauwa I WILL MISS U DEAR au SAFARI NJEMA HONEY. Utaweka msemo wowote wakumfanya aondoke lkn huku ana ham na ww.

UCKU WA WAKE.
Utatumia pipi nzur kumpa romance ya mda mrefu ya kumuaga na kumfanya akukumbuke mda wote uko atapoenda.
Utampatia mkao maalum ambayo yy huwa anapagawa.
Game ww ndo utaifanya muache yy ucku ule arelax
Baada ya kumaliza utamuachia apumzike juu ya kifua chko km dakika 5. Kwa7b mume akimaliza kula tunda anachoka sana.

UTAENDANAE BAFUNI KUMKOGESHA.
Maji ambayo umeshayatarisha kwa mawarid, kilua na asumini au huna hivyo japo udi wa kibaraza.(lkn hapa angalia km anapenda hayo mambo shoga usijeharibu)
Utamkogesha mume vzr km kwenye beseni au bafu popote ambapo atapata utulivu.

MNA PUMZIKA KITANDANI.
Hapo mume utamuomba msamaha ili asafiri hali ya kuwa yupo radhi na ww.
Na ukipata radhi ya mume ndo umepata radhi ya Mungu.
Kuna uhai na umauti huwez jua km mtaonana tena au lah..

MWISHO UTAMKUMBATIA KWA KUMBATIO LA MDA MREFU WKT WA KUAGANA.
Utambusu utamwambia Mume wngu Mungu akujaalie uenda salama katika safar yko na urudi salama.
SAFARI NJEMA HONEY

Haya sasa ushindwe wewe tu....

Yaani hayo yote bila ya Kuombwa helaaaa....Mh! Sio kwa Tanzania hii niijuayo mimi.
 
Mh, hapa hata kama nilikuwa naenda kukutana na kimada mbele ya safari naahirisha
 
Mapenzi ni ya wawili,

hamna set formular ambayo iko universal kwa kila mtu,

kila mtu akiolewa/kuoa anaanza maisha kivyake na mwenza wake....

I think kumtafuta mtu compatible ndio key ,

Mengine yataflow kama maji kwenye mkondo wake.

Ukute huyo 'kungwi' hafanyi hata moja hapo lol.
Wanawachota akili wenzao walipe hela Kwenye magroup watengeneze kipato, Hawa makungwi wa watsapp wengi makanjanja tu
 
Hayo mambo yote labda unawaelekeza wafilipino au wahindi ila dada zetu hawa hawawezi.
Atapata wapi mda kwanza..
 
Huwa kuna kitu najiuliza sana, kwanini makungwi wengi hawajaolewa au wameachika. Hivi wanavyovifundisha huwa hawavifanyii vitendo au ujuaji mwingi?
 
MIMI SIO MFUNDAJI ILA NAKULETEA TOKA KWA MFUNDAJI NGULI NIKIAMINI VIMWANA WA JF WATANUFAIKA NA CHOCHOTE.

VP UTAMTAYARISHA MUME ANAPOSAFIRI??

MUME ANASAFISHWA KABLA YA SAFARI.
Hakikisha mume anasafiri hana kucha. Nywele sehem za siri.
Ndevu kaeka sawa.
Unamsinga awe hana nongo.

AFU TAYAARISHA BAG MAALUM LA KUSAFIRIA.
Ndani yke utaeka nguo zilizopigwa pass vizur na kuekwa na manukato km udi au aluud au perfume.ktk nguo unaeka za kazin na za nyumban na za kulalia afu
Utaeka na msuaki mpya, dawa ya msuaki, sabuni ya kuogea, perfume, mafta ya nywele, lotion, kitana.

UTANDAA CHAKULA KIZUR AMBACHO ANA KIPENDA ZAID MCHANA NA UCKU.
We mwenyeo ndo unaemjulia mumeo nin anapendelea kula wkt akiwa furaha na ww.
Pia mchana utakapomaliza kupika chakula tengeneza salad ktk sahani ambayo utaipamba vegetables vzr yenye heruf yke mfano tumia figili vitango tungule karot au pamba fruit kuonesha tofaut
Chakula cha ucku pia mpike mahanjumati km anapenda wali nazi wa samaki au chochote kile

UTABADILISHA DESIGN YA KITANDA YAAN UTAWEKA TOFAUT NA CKU ZOTE.
muekee shuka jipya juu ya kitanda, afu utaweka design ya mauwa I WILL MISS U DEAR au SAFARI NJEMA HONEY. Utaweka msemo wowote wakumfanya aondoke lkn huku ana ham na ww.

UCKU WA WAKE.
Utatumia pipi nzur kumpa romance ya mda mrefu ya kumuaga na kumfanya akukumbuke mda wote uko atapoenda.
Utampatia mkao maalum ambayo yy huwa anapagawa.
Game ww ndo utaifanya muache yy ucku ule arelax
Baada ya kumaliza utamuachia apumzike juu ya kifua chko km dakika 5. Kwa7b mume akimaliza kula tunda anachoka sana.

UTAENDANAE BAFUNI KUMKOGESHA.
Maji ambayo umeshayatarisha kwa mawarid, kilua na asumini au huna hivyo japo udi wa kibaraza.(lkn hapa angalia km anapenda hayo mambo shoga usijeharibu)
Utamkogesha mume vzr km kwenye beseni au bafu popote ambapo atapata utulivu.

MNA PUMZIKA KITANDANI.
Hapo mume utamuomba msamaha ili asafiri hali ya kuwa yupo radhi na ww.
Na ukipata radhi ya mume ndo umepata radhi ya Mungu.
Kuna uhai na umauti huwez jua km mtaonana tena au lah..

MWISHO UTAMKUMBATIA KWA KUMBATIO LA MDA MREFU WKT WA KUAGANA.
Utambusu utamwambia Mume wngu Mungu akujaalie uenda salama katika safar yko na urudi salama.
SAFARI NJEMA HONEY

Haya sasa ushindwe wewe tu....
Khaaa!! Muda wa kufanya yote hayo niutoe wap.Natoka ofsn saa tatu usiku mpaka saa nne usiku af nifike niandae yote hayo labda kama n siku ya jumapili lakn napo lazima niende kanisan kwanza. Ndevu, vu*i ataenda kunyolewa huko anakoenda. Hamnaga shukran nyie hata mpewe sikio au pua.
 
Back
Top Bottom