Toka kuzaliwa sijawai shiriki mapenzi!

Toka kuzaliwa sijawai shiriki mapenzi!

Kumbe ndio maana
Screenshot_20261113_054301_Chrome.png
 
Sai nipo 47 yrs sijawai gusa wala kuharibu binti wa mtu na wala sina watoto na wala sijawah nunua malaya kabisa wala kukaribia mke wa mtu sipendi hiz tabia. sitak kuleta uzao dunia uje uteseke na sitak kujipa magonjwa na kuendeleza umaskin humu duniani
Kaka nakupongeza kwa maisha unayoishi japo baadhi wanakutukana humu. Mimi Mwenyewe nina mtazamo kama wako.
Hakuna kuzaa na kuleta viumbe katika Dunia yenye mateso.Wala kutafuta matatizo kwenye ndoa za watu.

Maisha ni kuangaikia tumbo lako tu basi
 
Mkuu,

Kwani mtu hawezi kujielezea tu alivyo tofauti bila ya kuwa na ajenda?

Ajenda gani?

Kakwambia hapendi "gayism".

Hivi Watanzania hamjui kuwa kuna watu ni asexual?

Unafahamu asexual ni nini?
Wabongo wakimwona mtu anaishi tofauti na walivyokaririshwa wanatamani kumpiga mawe hadi kufa. Kuna watu wana wake na watoto lakini ni mashoga ila hakuna anayejali. Sijui kwanini watu wanashindwa kuelewa na kuheshimu maamuzi binafsi ya watu wengine. Kama mtu anafurahia maisha anayoishi pasipo kukwaza wengine, kwanini wakasirike?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom