Ulishawahi kumkataa Mwanamke?

Magoya2000

JF-Expert Member
May 7, 2017
575
1,131
Habari huu uzi unaweza kuwa muendelezo kama uzi wa Riki boy kula Kimasihara maana kila siku tunakutana na manzi.

Katika harakati za kuangalia warembo nikaingia dating site moja. Basi kuna manzi nikamtumia hi message. Duh manzi bila kupoteza muda akatuma namba bila kuomba.

Mwana nikasave tukaanza kuchat whatsapp. Nikaona nimwombe full picture ili nitasmini kazi. Duh manzi Katuma picha yaani shapeless nikasema huyo namkwepa mazima.

Baada ya kutuma sikuendeleza chatting nikauchuna. Manzi akaanza kunisumbua nimtumie nauli aje Maghetoni. Nikamwambia siku hizi hatutumi nauli wengi Matapeli.

Akajinadi yeye sio Tapeli nikamwambia subiri nipo busy. Baada ya kama masaa mawili kuona kimya akaanza kupiga simu nyingi. Nikauchuna akatuma message yupo njiani anakuja nauli yake atatumia.

Duh nikaona huyu king'ang'anizi hadi kaamua kutumia nauli yake basi atakuwa ana kiu sana. Kufika nikamwangalia nikamuuliza umekuja kimapenzi au Kibiashara?

Akasema yeye yupo kibiashara anatoa mzigo kwa hela. Nikampa nauli ya kurudi alipotoka nikamwambia sihitaji biashara. Kazi mbovu halafu ipo kibiashara kazi tunayo Wana!
 
Nimeshawakataa 4 wa waziwazi; wale wa mitego idadi ni kubwa sana.
1. Tukiwa sec zama hizoo, classmate aliwahi kulazimisha night tukiwa tunajisomea. Nilipangua kwa kuondoka ghetto kwenda nje, nikapotea kama saa hivi, kurudi sikumkuta. Kesho nikamwambia nilikuwa toilet, tumbo lilizingua.
2. Alihitaji huduma kwa kubadilishana na bia, hata 1. Nikatoweka baa husika.
3. Tulikuwa kazi Mwalimu mikoa ya mbali kwa miezi 2, akaomba live tualale lodge chumba kimoja, nikamwepa.
4. Alinivizia kimitego, akaona simsomi, akamfuata mshkaji wangu mkuu amrahishie, akampa na zawadi, pia nikapangua.
N.B. Nahisi nimekwepa majanga mengi, ikiwemo limbwata, magonjwa, mikosi, n.k. Najivunia!
 
Kuna manzi kaingia getoni kwangu kakuta smart subwoofer moja matata sana imetulia kwenye kijimeza. Dada kauelewa sana mpangilio wa vitu getoni. Akataka aliwe na mzigo. To hell no!
 
Back
Top Bottom