Tohara ya ring imeekaeje wakuu?

Tohara ya ring imeekaeje wakuu?

Acha kabisa kule hauendi na nguo ni shuka lako moja tu au Kitenge chako kimoja tu upewe na mama au upewe na Shangazi imetoka tayari unaingia Porini huna silaha yoyote ni wewe na kipisi chako na shuka lako, kukaa uchi na kutembea uchi kwenda kuokota kuni ni issue ya kawaida ndio maana walikua wanakataza wanawake wasije mapori yenye jando kuja kuokota kuni na kijana wa kiume km hujaenda jando kwenye tamaduni zetu ulikua unatengwa wanakutenga waziwazi bila kificho yaan kijana ambae haujaingia kwenda kutahiriwa wewe hutakiwi kujichanganya na vijana walioenda jando au hata wazee na watu wazima maana wewe unaonekana bado hakuna unalolijua kwenye hii dunia hujapitia msoto wa JANDO, Ila siku hizi huo utaratibu wameuua haupo tena huo utamaduni umekufa kabisa kabisa
ni kweli tupu mkuu, zilikuwa ni mila na desturi nzuri za jamii zetu, wahuni wametuharibia tamaduni zetu za kishujaa
 
Kweli mkuu ile jando ni balaa aisee usiku Giza Nene mnatoka kibandani kumsindikiza mwenzenu kabanwa na haja kubwa mnakaa kumsubiri, msituni kule kuna nyoka wakali na wanyama wakali na wadudu wakali Kibanda ni Cha miti tu ya kawaida imekatwa na kujengwa kutoka kule kule Ila mitidawa, ujasiri mnaoupitia kule sio wa kawaida, Ila ndio hivyo zile tamaduni wanaziua taratibu tunaenda na usasa utandawazi unaharibu baadhi ya tamaduni zetu za asili,
kwa habari ya misosi ilikuwa kama yote, mtu ashindwe kula mwenyewe, vililetwa vyakula vingi wakati wa kula, mpaka mje kupona mnakuwa na afya bora, miili mikubwa iliyonona
 
Ila kuna tohara zingine za ajabu sana, kuna tohara govi linakusanywa chini ya dushe ukipona unaonekana una dushe mbili, nilikuta watu wanaoga mtoni nilishangaa sana kuona aina hiyo ya tohara. Hata ukeketaji wanawake nao upo wa ajabu vilevile. Kuna wengine wanakatwakatwa kwa kucharangwa, wengine wanabakishiwa nusu na wengine wanatolewa yote. Tohara za kawaida nazo ziko tofauti, wengine wana kidevu na wengine hawana, inategemeana na fundi wa kukata
Picha zingesaidia mkuu
 
Ipo tohara ya kutumia upanga, kitu kinalazwa kwenye kisiki kama kile cha bucha, upanga unainuliwa futi 2.5 juu, halafu unashushwa kwa kishindo kwenye target
 
Tohara ya ring/Plastibell

Huusisha:
1: Ring
2: Uzi

A: Uume hufunguliwa kwa ngozi ya mbele kurudishwa nyuma mpaka eneo ambalo kichwa cha uume huishia.

B: Uume husafishwa kuondoa uchafu wowote unaoweza kuwepo.

C: Ringi huvalishwa kwenye kichwa cha uume mpaka eneo lake la mwisho wa kichwa.

D: Uzi hufungwa kwenye eneo tarajiwa/ambapo ngozi ya mbele itakatikia.

E: Ringi huachwa na uzi ili kuendelea kuikata ngozi taratibu kwa wastani wa siku 6-7. Sehemu inayobaki mbele ya uume huweza kupunguzwa ili mtoto kujisaidia kirahisi.

D: Ringi huning'inia yenyewe kadri inavyoachia mpaka kudondoka.

NB: Dawa ya kuzuia maumivu hutumika/kuna discomfort wakati wa procedure pia wakati wa kuweka ring na ndani ya siku 5. Kuna ringi mbalimbali kulingana na umri wa mtoto au saizi ya uume. Very cosmetic.
Hamna simulation yake mkuu?
 
Mimi nilitahiriwa south Africa na dokta wa kizulu kipindi kile mzee alikuwa kule kikazi.

Yule mzulu kiukweli alikuwa balaa na gharama yake si kitoto aisee.

Mashine yangu imekatwa kwa ufanisi na muonekano ni msingi kwa sababu Wazulu wanawake wanatabia ya kunyonya sana mb.o kama jadi na mila yao hvyo muonekano muhimu.

Ila siku hizi nimeifungia ndani inamchakata wife tu. wengine hawaruhusiwi kuiona mana wana tabia ya kuitaka kuishika shika na kuishangaa
 
Tatepa yenye tangawizi
 
Ipo tohara ya kutumia upanga, kitu kinalazwa kwenye kisiki kama kile cha bucha, upanga unainuliwa futi 2.5 juu, halafu unashushwa kwa kishindo kwenye target
Naongezea inakua ni bila ganzi na Panga likishashuka hautakiwi kulia, kuugulia, kununa, kukaza sura, kung'ata meno, kuvimbisha mashavu wala kutoa uchozi hata robo na ukiulizwa inauma inatakiwa utabasamu na useme kwa furaha kabisa 'hapana wala haiumi', unafungwa bandage unapewa matunda ya pongezi ukale pembeni anaingia mwingine
 
🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom