Lukonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 1,583
- 2,283
Ni nzuri ukilinganisha na ya kukata na kushona. Best ni laser type.Asante mkuu
Kwaiyo ni nzuri?? Ni the best??
Ni nzuri ukilinganisha na ya kukata na kushona. Best ni laser type.Asante mkuu
Kwaiyo ni nzuri?? Ni the best??
Hii dushe kwa mbele linakuwa nene maana kile kingozi hakikatwi.Nimekutana na hili tangazo kwa dokta fulani.
Naitaji kujua hii tohara ina utofauti gani na nyingine wakuu .tunataka kumtahiri dogo.
View attachment 2630407
Uko hapa na umesema unalog off tena?Ngariba nipo hapa kiasili zaidi
Nalog off
Inawezekana kwa mtoto wa miaka 10 - 13 ?? Maana nilisikia akishakua mkubwa njia hiyo haifai tena.Tohara ya ring/Plastibell
Huusisha:
1: Ring
2: Uzi
A: Uume hufunguliwa kwa ngozi ya mbele kurudishwa nyuma mpaka eneo ambalo kichwa cha uume huishia.
B: Uume husafishwa kuondoa uchafu wowote unaoweza kuwepo.
C: Ringi huvalishwa kwenye kichwa cha uume mpaka eneo lake la mwisho wa kichwa.
D: Uzi hufungwa kwenye eneo tarajiwa/ambapo ngozi ya mbele itakatikia.
E: Ringi huachwa na uzi ili kuendelea kuikata ngozi taratibu kwa wastani wa siku 6-7. Sehemu inayobaki mbele ya uume huweza kupunguzwa ili mtoto kujisaidia kirahisi.
D: Ringi huning'inia yenyewe kadri inavyoachia mpaka kudondoka.
NB: Dawa ya kuzuia maumivu hutumika/kuna discomfort wakati wa procedure pia wakati wa kuweka ring na ndani ya siku 5. Kuna ringi mbalimbali kulingana na umri wa mtoto au saizi ya uume. Very cosmetic.
Kumbe kuna kidevuIla kuna tohara zingine za ajabu sana, kuna tohara govi linakusanywa chini ya dushe ukipona unaonekana una dushe mbili, nilikuta watu wanaoga mtoni nilishangaa sana kuona aina hiyo ya tohara. Hata ukeketaji wanawake nao upo wa ajabu vilevile. Kuna wengine wanakatwakatwa kwa kucharangwa, wengine wanabakishiwa nusu na wengine wanatolewa yote. Tohara za kawaida nazo ziko tofauti, wengine wana kidevu na wengine hawana, inategemeana na fundi wa kukata
Basi weww ni basha.yangu ni handsome, ilikatwa na kuchongwa vizuri, ina kakidevu kadogo, huvutia kutazama mpaka wanaume
Yaani wanaipenda kuitazama kwa jinsi ilivyokatwa na kuchongwa, haina manundunundu na makovu, walianza kuisifia tangu nikiwa sijapona toharaBasi weww ni basha.
Sahihi....na sio mpya. Nilifanyia watoto miaka zaidi ya kumi..Tohara ya ring/Plastibell
Huusisha:
1: Ring
2: Uzi
A: Uume hufunguliwa kwa ngozi ya mbele kurudishwa nyuma mpaka eneo ambalo kichwa cha uume huishia.
B: Uume husafishwa kuondoa uchafu wowote unaoweza kuwepo.
C: Ringi huvalishwa kwenye kichwa cha uume mpaka eneo lake la mwisho wa kichwa.
D: Uzi hufungwa kwenye eneo tarajiwa/ambapo ngozi ya mbele itakatikia.
E: Ringi huachwa na uzi ili kuendelea kuikata ngozi taratibu kwa wastani wa siku 6-7. Sehemu inayobaki mbele ya uume huweza kupunguzwa ili mtoto kujisaidia kirahisi.
D: Ringi huning'inia yenyewe kadri inavyoachia mpaka kudondoka.
NB: Dawa ya kuzuia maumivu hutumika/kuna discomfort wakati wa procedure pia wakati wa kuweka ring na ndani ya siku 5. Kuna ringi mbalimbali kulingana na umri wa mtoto au saizi ya uume. Very cosmetic.
Ndio, nilifanyia mtoto jumamosi na jumatatu akaenda shule na ring yake. Baada ya siku 7 ikatoka yenyewe, iko safe sana....Inawezekana kwa mtoto wa miaka 10 - 13 ?? Maana nilisikia akishakua mkubwa njia hiyo haifai tena.
kidevu huwa kipo, ni pale mkataji anapokusanyia govu lote na kumalizia mkato wa mwisho kwa chini karibu na kichwa cha dushe. Wakataji wengine huacha kidevu kirefu na wengine hawaachi kidevuKumbe kuna kidevu
Dear had 10 - 13 mtoto hajatahiri?? Why?Inawezekana kwa mtoto wa miaka 10 - 13 ?? Maana nilisikia akishakua mkubwa njia hiyo haifai tena.
Siijui ila nakushauri mtahiri mtoto kwa mfumo unaeleweka. Kuna mambo mapya kila siku yanaletwa kwa maslahi binafsi. Usiamini bila kuelewa kitu.Nimekutana na hili tangazo kwa dokta fulani.
Naitaji kujua hii tohara ina utofauti gani na nyingine wakuu .tunataka kumtahiri dogo.
View attachment 2630407
tohara gani hiyo? Tohara inatakiwa apelekwe mkubwa asikie uchunguNdio, nilifanyia mtoto jumamosi na jumatatu akaenda shule na ring yake. Baada ya siku 7 ikatoka yenyewe, iko safe sana....
Sawa kabisa GovindaYaani nihangaike kupunguza mwili wangu??? Never!!!
zamani kama hukupelekwa jando ungedharauliwa, hii ilikuwa kote kote wanaume na wanawakeYaani nihangaike kupunguza mwili wangu??? Never!!!
Niko sawa govinda mzoefu hapaSawa kabisa Govinda