Tohara ya ring imeekaeje wakuu?

Inawezekana kwa mtoto wa miaka 10 - 13 ?? Maana nilisikia akishakua mkubwa njia hiyo haifai tena.
 
Kumbe kuna kidevu
 
Sahihi....na sio mpya. Nilifanyia watoto miaka zaidi ya kumi..
 
Kumbe kuna kidevu
kidevu huwa kipo, ni pale mkataji anapokusanyia govu lote na kumalizia mkato wa mwisho kwa chini karibu na kichwa cha dushe. Wakataji wengine huacha kidevu kirefu na wengine hawaachi kidevu
 
Kama kuna mtu alitahiriwa akiwa mtoto mdogo hiyo siyo tohara, tohara unatakiwa utahiriwe ukiwa mkubwa maumivi yake uyasikilizie, tena ukatwe bila ganzi. Watoto wa siku hizi wanakua hawajui uchungu wa tohara na mambo ya jando ndio maana hawathamini mambo ya ndoa na maadili yake
 
Siku hizi hakuna tohara ya maana. Tohara ya maana ilikuwa ya zamani unalepekwa ukiwa mkubwa, tena mnatengwa mbali na nyumbani mnaishi huko jandoni mkifundwa mambo makubwa na mazito kuhusu ndoa na familia. Ukipona unaenda kuoa fasta, tena mchumba wako anajua ukipona mnaoana. Tohara ya zamani ilimaanisha umekua na unaweza kupambana na harakati za maisha, ilikuwa ni heshima kubwa kutahiriwa ili uruhusiwe kuoa na kuingia kwenye kundi la kufanya maamuzi ya kifamilia na kijamii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…