Tohara ya ring imeekaeje wakuu?

Tohara ya ring imeekaeje wakuu?

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
28,028
Reaction score
52,505
Nimekutana na hili tangazo kwa dokta fulani.

Naitaji kujua hii tohara ina utofauti gani na nyingine wakuu .tunataka kumtahiri dogo.

Screenshot_20230521_195742_Instagram.jpg
 
Ila kuna tohara zingine za ajabu sana, kuna tohara govi linakusanywa chini ya dushe ukipona unaonekana una dushe mbili, nilikuta watu wanaoga mtoni nilishangaa sana kuona aina hiyo ya tohara. Hata ukeketaji wanawake nao upo wa ajabu vilevile. Kuna wengine wanakatwakatwa kwa kucharangwa, wengine wanabakishiwa nusu na wengine wanatolewa yote. Tohara za kawaida nazo ziko tofauti, wengine wana kidevu na wengine hawana, inategemeana na fundi wa kukata
 
Mbowwro mbili ni wamasai wanaita fagio
Raha ya tohara ndonga iwe kama kichwa cha samaki
 
Awali niliona mbili nikajua ni maumbile, kucheki wa pili, tatu nao wanao mbili nikagundua ni aina ya ukataji govi linaviringishwa kwa chini na kuonekana ni mbili, ni kwa hao jamaa uliowataja
Hata mimi first time nlipata client wa kabila hilo nkaona ila sikuuliza mpaka nlivoona tena ndo nikauliza mama yoyoo akanambia sisi waswahili hawawez kutupa sabab hatuna fagio
 
Ila kuna tohara zingine za ajabu sana, kuna tohara govi linakusanywa chini ya dushe ukipona unaonekana una dushe mbili, nilikuta watu wanaoga mtoni nilishangaa sana kuona aina hiyo ya tohara. Hata ukeketaji wanawake nao upo wa ajabu vilevile. Kuna wengine wanakatwakatwa kwa kucharangwa, wengine wanabakishiwa nusu na wengine wanatolewa yote. Tohara za kawaida nazo ziko tofauti, wengine wana kidevu na wengine hawana, inategemeana na fundi wa kukata

Wewe yako ikoje mkuu
 
Nimekutana na hili tangazo kwa dokta fulani.

Naitaji kujua hii tohara ina utofauti gani na nyingine wakuu .tunataka kumtahiri dogo.

View attachment 2630407

Tohara ya ring/Plastibell

Huusisha:
1: Ring
2: Uzi

A: Uume hufunguliwa kwa ngozi ya mbele kurudishwa nyuma mpaka eneo ambalo kichwa cha uume huishia.

B: Uume husafishwa kuondoa uchafu wowote unaoweza kuwepo.

C: Ringi huvalishwa kwenye kichwa cha uume mpaka eneo lake la mwisho wa kichwa.

D: Uzi hufungwa kwenye eneo tarajiwa/ambapo ngozi ya mbele itakatikia.

E: Ringi huachwa na uzi ili kuendelea kuikata ngozi taratibu kwa wastani wa siku 6-7. Sehemu inayobaki mbele ya uume huweza kupunguzwa ili mtoto kujisaidia kirahisi.

D: Ringi huning'inia yenyewe kadri inavyoachia mpaka kudondoka.

NB: Dawa ya kuzuia maumivu hutumika/kuna discomfort wakati wa procedure pia wakati wa kuweka ring na ndani ya siku 5. Kuna ringi mbalimbali kulingana na umri wa mtoto au saizi ya uume. Very cosmetic.
 
Asante mkuu
Kwaiyo ni nzuri?? Ni the best??
 
Mbna mateso hayaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom