Ndio....Bila ganzi duuuh!!!!
Ni kweli inaachwa hapo kwa nyuma ya mashine yenyewe.Ni kweli kuwa tohara ya Masai hawatoi ngozi yote, huacha Kipande kining'inie kwa chini ili kuleta raha kwa ile kitu ina run dunia?
Mkuu hapo pa kurudi kwenye nyumba ya mama baada ya kutahiriwa nadhani si kweli, wakisha fikia kutahiriwa huwa wametengewa chumba chao kabisa na mara nyingi huchanganywa vijana zaidi ya mmoja wa boma hilo au hata na jirani hutahiriwa pamoja. Wanakaa hapo wakitunzwa kama wazazi chakula fresh na supu kwa wingi mapak wanapo pona, na baada ya kupona huendelea kukaa hapo mpaka wafanyiwe sherehe rasmi ya KUWATOA ndani, maana kipindi chote cha tohara hawaruhusiwi kutoka, au wakishapona kabisa huweza kutoka na kutembea kwenye shughuli kama hizi za tohara lakini wakiwa na yale marubega yao meusi na kupakwa masizi meusi usoni, ikisha fanyika sherehe ya kuwatoa hapo ndipo huvaa mavazi mengine na kurudi kwenye nyumba zao amabazo mara nyingi huwa labda chumba cha nje, au kijana hupewa sehemu yake na kujenga makazi yake huko. Na baada ya hatua hii kuingia kwenye nyumba ya mama huwa ni marufuku, hata kuingia jikoni hawaruhusiwi labada kama mama ana tatizo na umeitwa huko.Sehemu gani Mkuu. Sema tu
Sawa kabisa Mkuu,hao ni Waarusha ambao wanawaita "ILARUSA". Kwa wamasai wenyewe wale haipogo hivyo. Wanakaa kwenye nyumba za mama zao chini ya uangalizi maalum.Mkuu hapo pa kurudi kwenye nyumba ya mama baada ya kutahiriwa nadhani si kweli, wakisha fikia kutahiriwa huwa wametengewa chumba chao kabisa na mara nyingi huchanganywa vijana zaidi ya mmoja wa boma hilo au hata na jirani hutahiriwa pamoja. Wanakaa hapo wakitunzwa kama wazazi chakula fresh na supu kwa wingi mapak wanapo pona, na baada ya kupona huendelea kukaa hapo mpaka wafanyiwe sherehe rasmi ya KUWATOA ndani, maana kipindi chote cha tohara hawaruhusiwi kutoka, au wakishapona kabisa huweza kutoka na kutembea kwenye shughuli kama hizi za tohara lakini wakiwa na yale marubega yao meusi na kupakwa masizi meusi usoni, ikisha fanyika sherehe ya kuwatoa hapo ndipo huvaa mavazi mengine na kurudi kwenye nyumba zao amabazo mara nyingi huwa labda chumba cha nje, au kijana hupewa sehemu yake na kujenga makazi yake huko. Na baada ya hatua hii kuingia kwenye nyumba ya mama huwa ni marufuku, hata kuingia jikoni hawaruhusiwi labada kama mama ana tatizo na umeitwa huko.
Uangalizi wa mama yake?!!Sawa kabisa Mkuu,hao ni Waarusha ambao wanawaita "ILARUSA". Kwa wamasai wenyewe wale haipogo hivyo. Wanakaa kwenye nyumba za mama zao chini ya uangalizi maalum.
nitawapataje?Hahahahaaa! Bado una muda. Watafute wakushughulikie
Ndo nawaza kitu kinavouma, afu kule kushonwa atleast unakua umetoka kwenye maumivu makubwa sana Kwahiyo kale kasindano muda huo kanakua sio ishu kiivo ha ha haNdio....
Mbonanhata sie tunashonwaga bila ganzi...
Mbali na huruma mie ni muoga sana, yani siku mwanangu akikatwa itabidi nisafiri, siwezi kukaa naeHakika kuna maumivu. Ila itakubidi tu ujikaze. Una huruma sana eeegh?
Hebu nenda kamkate bana....acha woga.Mbali na huruma mie ni muoga sana, yani siku mwanangu akikatwa itabidi nisafiri, siwezi kukaa nae
Me sijui kimasai lakini hapa unamuelekeza nyumbani kwenu Arusha na unamwambia kwamba kuna baridi sana na unamwambia haujui kitu fulani hahahaa mayelo kimasai taa metii kimasai tukulu.Mabaye sinanu Larusa olalahe lai kake etii ngeraki tenilo Naberera arashu Orkesmeti ,tabaraki taa kuna ne Mujini , Mayelo sinanu ena kutuk abaraki enaomwoneki ake ngare ayolo
Em tuelezee ya wakurya sababu me naona ya maasai ni kiboko ila kwenye kukamata panzi kutoka simba wameshuka sana wangetakiwa waue japo hata fisiWakurya ndio hodari wa mambo hayo ya tohara.. masai hakuna kitu..
Aiseee wewe jamaa umenichekesha mpaka nimekaa chini, hapa unawaingiza watu chaka na desa lako ,Me sijui kimasai lakini hapa unamuelekeza nyumbani kwenu Arusha na unamwambia kwamba kuna baridi sana na unamwambia haujui kitu fulani hahahaa mayelo kimasai taa metii kimasai tukulu.





Hahahaaaaa lakini nimejaribu kidogo sio?Aiseee wewe jamaa umenichekesha mpaka nimekaa chini, hapa unawaingiza watu chaka na desa lako ,
Kweli metii kimasai tukulu